Upuuzi wa Masoud Kipanya

Huu ndio upuuzi wa leo kutoka kwa Masoud Kipanya fuatilia kwa makini halafu tafakari kwa kina ewe Mtanzania mwenzangu!View attachment 46912

Duh! Kweli ww bado umetawaliwa na zidumu fikra za mwenyekiti wa CcMfsdi.....inamaana bado hujasoma tu Alama za nyakati?! Wakati wa ukombozi Ni sasa BIG UP Masoud KP na R.I.P CcMfsd.
 
Duh! Kweli ww bado umetawaliwa na zidumu fikra za mwenyekiti wa CcMfsdi.....inamaana bado hujasoma tu Alama za nyakati?! Wakati wa ukombozi Ni sasa BIG UP Masoud KP na R.I.P CcMfsd.

Huko kwenye RED mbona unamu 'attack' hivyo mtuma picha????!!!! Kwani amefanyaje... ?
 
Huko kwenye RED mbona unamu 'attack' hivyo mtuma picha????!!!! Kwani amefanyaje... ?

Cdhani Kama nimeona vibaya....Huyu ndallo si ndio aliyesema upuuzi wa MASOUD? Ambao mimi binafsi cjauona!! Na2mia laptop na kunaattachment ktk post yake hii...
 
Kipanya mwenyewe ndo huuita hivyo..upuuzi wake. Tafuta dvd yake yenye collection za cartoon inaitwa upuuzi wa Masoud Kipanya.

Nimekusoma....Kumbe KP mwnyw anaita upuuzi wa KP?............SORRY Ndallo nilikunukuu vibaya....lakini woote walio against hii picha thn wajipange.
 
Ukitaka kujua umuhimu wa Dr. ni pale unapoumwa au nduguyo anaumwa na huna pakwenda unaona mtu anakufia, picha hiyo imekuja kwa wakati muafaka, ahsante kaka Masudi ujumbe umetufikia
 
Huu ndio upuuzi wa leo kutoka kwa Masoud Kipanya fuatilia kwa makini halafu tafakari kwa kina ewe Mtanzania mwenzangu!View attachment 46912
It's OK. Lakini ulipoanza na heading ya Upuuzi wa Masoud njilidhania utazungumzia DVD mpya ya Masoud yenye fumbo la vipande 26 vya keki! Anyway, hakuna kilichoharibika lakini
 
Nadhani KP ametumia neno 'MGOMO' kwa maana pana zaidi ya mgomo wa madaktari unaoendelea (-na ndio maana ameliwekea neno hilo alama za '.......'). Nahisi alimaanisha mambo mengi - mgomo wa wabunge wa CCM kukutana na JK, migomo mingine inayonukia ya waalimu, n.k, pamoja na matatizo mengine mengi yanayoiandana nchi hii - haswa masuala ya ufisadi kila kukicha
 
Hivi mkuu hizi dvd zinapatikana wapi,niliona jana tu anazungumzia juu ya hiyo kitu upuuzi wa masoud kipanya,ila hakutaj maeneo husika zinapopatikana hizo dvd,nataka niburudike na kuelimika pia

Masoud kipanya ni wa ukweli. Nami natafuta sana hiyo dvd mkuu.
 
Ni wakati wa kupaza sauti kwa kutumia kila njia ila watawala wajue tumechoka.Big up KP
 
Huu ndo ukweli!but nahisi ujumbe wake kama una pande mbili kwa uelewa wangu! 1)Mgomo wa madaktari,2)kifo cha ccm
 
Back
Top Bottom