Recent content by mNaz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Tujiandae kisaikolojia kuwa wasira anaweza kuwa raisi..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Uzalendo kwanza wasira ,zitto,mwigulu ...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Steven Wassira ndiye atakayempokea kijiti Kikwete 2015

    Wasira azidi kubeba mioyo ya watanzania
  4. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Rejea kichwa cha habari hapo juu maneno hayo ayasema mhe zitto kabwe pamoja na kutambua uzalendo wa mhe wassira na uwezo wa wassira mwisho ameuzunika sana na hatimaye kutondosha machozi baada ya uzushi uliojitokeza bungeni baada kutajwa mama yake mzazi zitto marehemu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Maneno hayo yalitolewa leo bungeni, mikoani na hasa mitaani baada ya kauli alioitoa leo bungeni ameonyesha uwezo wake wakufanya maamuzi na kuisimamia tanzania na watanzania. Wassira azidi kujichukulia nafasi kwenye mioyo ya watanzania. Nawakumbusha tena tujiandae kisaikolojia kuwa mhe wasira...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Mhe wasira leo wakati akichangia katika sakata la escrow alisema alio husika watoswe. Bunge limeonyesha imani na mhe.wasira na mhe.mwigulu sana juu ya ujasiri alionao na uzalendo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makonda tena Dodoma amtunishia misuli UVCCM mwenzie

    Vijana wa lowassa wako kazini
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

    Sema unamuhitaji lowasa kwani baba yako?.... 2008 katu richimondi na bado anakejeli serikali kuwa yeye kafanya na sio serikali hapo ndipo tunapomkataa ni mmbinafsi sana. Unapoteza muda wako kumuongelea lowassa rais lazima atoke ccm na wajumbe tutaamua. Aendeleee kununua mamlaka tusubirie kuuzwa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa unamdanganya nani, Ishara ya kufa kisiasa

    Lowassa jua tuko dodoma na tunajua unacho kifanya acha ujinga jua huwezi kuwa rais na katubu zambi zako maana umekula hela ya wavuja jasho watanzania. Laana iko juu yako na wanao kufuata nao wame laaniwa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wassira: Nitagombea urais 2015

    WASSIRA KIBOKO Yao!!!!!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Steven Masatu Wassira unakumbuka huyu?

    Kwanza aliyeandika Hii ni moja ya administration wa jamii forum anayetumika na bwana Lowassa .... HUYO WASSIRA ni msafi sana hata mungu anamjua juu ya utumishiwake Kwa taifa hili uliotukuka. Angekuwa mchafu AU amefanya hivyo angekuwa amesha ondoka kawa tulipo wahokuwaona HAPO nyuma. Acheni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nasikia ni WASSIRA au PINDA!

    Wasira kiboko yao
  13. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya kampeni ya Steven Wassira Masatu

    Kambi imara ya wassira na watu wake wanamikakati .... Huyo kijana wake zenda nasikitika kuwa hamumfahamu na very soon tutawafahamisha vizuri...maana kilicho andikwa hakuna hata kimoja cha ukweli ni uwongo mtupu kuna vijana wa lowassa juzi alikutana nao pale mlimani city akiwemo na mtoto wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    kifo chao kilitabiriwa na wasira.....
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wassira azidi kuwa tishio toleo la kwanza

    tunatambua uwezo wake wasira na ni presidential material. jamaa kichwa sana tunaendelea kumfahamu kila siku.
Back
Top Bottom