Timu ya kampeni ya Steven Wassira Masatu

Nyie jiangieni tu lakini mwisho wa siku mtalia tu.

Namuona mleta uzi kama ametoka usingizini hivi!Tunaomfahamu wasira tuko wengi ndani na nje ya CCM hakika huyu ni shujaa asiyemung'unya maneno.

  • Amesaidia sana kuielekeza ccm namna ya kuiua CDM na imefanikiwa.
  • Alitabiri kuwa CDM kinakufa sasa matokeo yapo wazi,
  • Amesimamia TASAF I, II & III tunashuhudia zinavyofanikiwa,
  • Anaratibu utekelezaji wa sera, mipango na lengo la taifa leo tunaona zinatekelezeka

Sasa wewe unataka kiongozi gani? - Lowassa (Richmond), SLAA (Msaliti wa Kanisa), Lipumba (King'ang'anizi wa madaraka), Lissu (Mpotoshaji)?????????????????????????????????

WASIRA NI JEMBE LETU CCM, ATAKACHO TUTAMPA, APENDACHO TUTAMTIMIZIA -- -- CCM KWANZA!
 
hivi huyu wassira anayelala hovyo bungeni ndio awe raisi halafu kuna watu wanamuita jembe duh kumbe nchi hii ni hatari ole wake aliye vuruga elimu ya nchi hii watu wa nchi hii wamekuwa na upeo mdogo hivi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Baada ya kupitia timu za kampeni za Lowassa, Pinda na Wassira, sijaona sababu ya msingi ya wewe mwenyewe ocampo four kutojiorodhesha kwenye timu ya kampeni ya Lowassa.
Member wote wa timu za Pinda na Wassira wamepondwa, wakati member wote wa timu ya Lowassa wamesifiwa!
 
kaazi kweli kweli ha ha ha ha ha january makamba hataki urais yuko kambi ya lowassa
 
Nimependa huu uchambuzi kwani mwandishi bila kukusudia ametujuza sifa nyingi za mzee wasira
1. Kwanza kukubalika kwake na raisi aliyeko madarakani na kwamba anamtegemea sana katika ushauri, hii ni sifa njema
2. Kumbe viongozi kutoka lwao wanamkubali pia tofauti na baadhi ya wagombea wengine ambao wanatoka sehemu wasizoungwa mkongo
3. Mwandishi kama waliowengine wanakisa uchafu wa kumwagia mzee wasira matokeo yake ni kuzisha eti ufisadi, ubabe..rushwa vitu ambavyo mzee wasira hajawahi kutuhumiwa, mEe wasira amekuwa na msimamo thabiti juu ya mambo ya msingi ya kitaifa na kwa misimamo hiyo ameonekana kama mbabe, lakini utaakajr kimywa kama mtu anamtukana mwalimu nyerere na kukebehi muungano wetu??? Lakini pia amekuwa akijibu hoja kwa hoja na mara zote alipoamua kutetea jambo hata wapinzani huridhika maaana huwapa ukweli
4. Suala la kuhamia upinzani sio jambo la ajabu ndio maana ya demokrasia ya vyama vingi, uamuzi wa mzee wasira kwenda upinzani ulisukumwa na wanamchi ambao walimhitaji yeye kuwaongoza baada ya kumshinda mzee warioba kura za maoni lakini chama kikamteua mzee warioba badala yake kugombea kinyume na matakwa ya wananchi, baada ya kutafuta haki kwenye chama na kushindwa alikubali kushindwa ndipo wananchi wakamfuata na kutishia kufanya vurugu endapo hatagombea ndipo aliingia upinzani kwa ajiri ya kutetea haki yake na ya wananchi wanaomtaka ndio maana alipoenda upinzani alimshinda mzee warioba pamoja na kwamba upinzani haukuwa na nguvu wakati huo, baada ya kushindwa mzee warioba alikata rufaa na baadae uchaguzi kufutwa na wote kusimamishwa kutogombea, na lazima ijulikane wakati huo warioba alikuwa ndio waziri mkuu na mwalimu nyerere alikuwepo, badae mzee wasira alirudi ccm na kujisagisha ndani ya chama na kuendelea kukijenga mpaka leo.
Tokea hapo mzee wasira amekuwa akishika nyazifa mbalimbali serikalini na kwenye chama chake. Na kuonyesha kwamba ccm wanamtambua na kuheshimu demokrasia ndio maana kwenye uchaguzi wa halmashauri kuu mzee wasira aliongoza kwa kura nyingi alizopigiwa na wanaccm nankuibuka namba 1.
5. Wapo watu wachache sana wanompigia debe mzee wasira tofauti na watu wengine wanaoamini ni lazima watakuwa mataisi nchi by any means, mzee wasira anauzwa na sifa zake sio na wapiga debe wenye njaa na wanaotaka kuvuna pesa....

Nchi yetu ilipo inahitaji mtu mwenye sifa ya kuuelewa uchumi wa kimaendeleo, mtu anayehishimu maadili ya nchi, mtu mwenye msimamo wenye tija kwa nchi yake, mtu mwenye hekima na muadilifu mtu anayeweza kuleta umoja wa kitaifa na kuulinda muungano na mtu mwenye sifa hizi ni STEVEN MASATU WASIRA..
 
Rweikiza
Huyu ni mbunge wa moja ya jimbo kutoka kagera. Amekuwa kwenye hii kambi kwa muda mrefu na ni moja wa waanziilishi. Amekuwa ni mwanasiasa mfanya biashara ambaye amejaliwa kumiliki shule kadhaa za St. (ziki Kimara). Ni mtu ambaye hana wafuasi hata kidogo katika siasa za kitaifa kwani amekuwa mtu wa kujisikia sana, mtu wa dharau na asiye weza kujichanganya na watu wa kada ya chini kama tunavyojua 94% ya ccm ni masikini, hivyo ni jambo lililo wazi kuwa hataweza siasa za kujichanganya na kada mbali mbali kama anazofanya Kinana.
Ocampo four.

Sina hakika kama Ocampo ulikuwa siriasi au ulitaka kutupa habari kwa juu juu...
Ungekuwa makini ungetafuta habari za kutosha za Mhe Rweikiza...unasema tu anatoka jimbo moja Kagera, na kwamba anamiliki shule Kimara...
Anyway, nadhani yeye ndiye mmiliki wa shule maarufu za Tusiime, ambazo mara nyingi zimekuwa zikiongoza kitaifa katika matokeo ya mitihani ya shule za msingi hapa nchini. Nadhani shule zenyewe ziko Tabata na si Kimara.

Hivi huyu Rweikiza aliwahi kufanya kazi Mamlaka ya Bandari?
 
Huyu ocampo mpenda mafisadi kwa mchanganuo huo ameshadeclare interest yeye ni team mamvi.
(Habari nlizozipata kuwa cc wameshasema/tangaza rasmi wenye kashfa za ufisadi wasijisumbue majina yao wanayakatilia mbali)
na rweikiza hana majivuno sema tu si mwanasiasa hajui siasa ni mtu wa black and white.
Sina hakika kama Ocampo ulikuwa siriasi au ulitaka kutupa habari kwa juu juu...
Ungekuwa makini ungetafuta habari za kutosha za Mhe Rweikiza...unasema tu anatoka jimbo moja Kagera, na kwamba anamiliki shule Kimara...
Anyway, nadhani yeye ndiye mmiliki wa shule maarufu za Tusiime, ambazo mara nyingi zimekuwa zikiongoza kitaifa katika matokeo ya mitihani ya shule za msingi hapa nchini. Nadhani shule zenyewe ziko Tabata na si Kimara.

Hivi huyu Rweikiza aliwahi kufanya kazi Mamlaka ya Bandari?

point of correction
anatoka bukoba vijijini,ndo campaign manager wa wassira kwa sasa,previous month alipledge 100,000,000 kumfinance wassira p
hamiliki tusiime ni ya Mwijage(muleba kaskazini) yeye ni st anne marie,(kimara)briliant(kimara)sunshine(kibaha),rweikiza_bukoba (hii inafanya vizuri sana mitihani ya 3 kitaifa).
Hajawahi kufanya bandari he was just a mere teacher.
Adui no 1 wa KARAMAGI.i
 
Fanyeni vyote muwezavyo ndugu zangu wa kijani ila msituletee huyo mzee maana secret service watakuwa wanashinda hospitali,rejea ya wakutao wa Zambia kwa king Cobra.
 
Sina hakika kama Ocampo ulikuwa siriasi au ulitaka kutupa habari kwa juu juu...
Ungekuwa makini ungetafuta habari za kutosha za Mhe Rweikiza...unasema tu anatoka jimbo moja Kagera, na kwamba anamiliki shule Kimara...
Anyway, nadhani yeye ndiye mmiliki wa shule maarufu za Tusiime, ambazo mara nyingi zimekuwa zikiongoza kitaifa katika matokeo ya mitihani ya shule za msingi hapa nchini. Nadhani shule zenyewe ziko Tabata na si Kimara.

Hivi huyu Rweikiza aliwahi kufanya kazi Mamlaka ya Bandari?

Tusiime ni mali ya Mbunge Katagira wa jimbo la Kyewa na si Rweikiza wa jimbo ka Bukoba Vijijini japo wote ni wenyeji wa mkoa wa Kagera.
 
Sina hakika kama Ocampo ulikuwa siriasi au ulitaka kutupa habari kwa juu juu...
Ungekuwa makini ungetafuta habari za kutosha za Mhe Rweikiza...unasema tu anatoka jimbo moja Kagera, na kwamba anamiliki shule Kimara...
Anyway, nadhani yeye ndiye mmiliki wa shule maarufu za Tusiime, ambazo mara nyingi zimekuwa zikiongoza kitaifa katika matokeo ya mitihani ya shule za msingi hapa nchini. Nadhani shule zenyewe ziko Tabata na si Kimara.

Hivi huyu Rweikiza aliwahi kufanya kazi Mamlaka ya Bandari?

Acha uwongo mkuu, Tusiime ni shule za Katagira. daima usiwe na haraka katika kujibu hoja ukiwa hauna reality. ushauri wa maisha huo mkuu
 
Nimependa huu uchambuzi kwani mwandishi bila kukusudia ametujuza sifa nyingi za mzee wasira
1. Kwanza kukubalika kwake na raisi aliyeko madarakani na kwamba anamtegemea sana katika ushauri, hii ni sifa njema
2. Kumbe viongozi kutoka lwao wanamkubali pia tofauti na baadhi ya wagombea wengine ambao wanatoka sehemu wasizoungwa mkongo
3. Mwandishi kama waliowengine wanakisa uchafu wa kumwagia mzee wasira matokeo yake ni kuzisha eti ufisadi, ubabe..rushwa vitu ambavyo mzee wasira hajawahi kutuhumiwa, mEe wasira amekuwa na msimamo thabiti juu ya mambo ya msingi ya kitaifa na kwa misimamo hiyo ameonekana kama mbabe, lakini utaakajr kimywa kama mtu anamtukana mwalimu nyerere na kukebehi muungano wetu??? Lakini pia amekuwa akijibu hoja kwa hoja na mara zote alipoamua kutetea jambo hata wapinzani huridhika maaana huwapa ukweli
4. Suala la kuhamia upinzani sio jambo la ajabu ndio maana ya demokrasia ya vyama vingi, uamuzi wa mzee wasira kwenda upinzani ulisukumwa na wanamchi ambao walimhitaji yeye kuwaongoza baada ya kumshinda mzee warioba kura za maoni lakini chama kikamteua mzee warioba badala yake kugombea kinyume na matakwa ya wananchi, baada ya kutafuta haki kwenye chama na kushindwa alikubali kushindwa ndipo wananchi wakamfuata na kutishia kufanya vurugu endapo hatagombea ndipo aliingia upinzani kwa ajiri ya kutetea haki yake na ya wananchi wanaomtaka ndio maana alipoenda upinzani alimshinda mzee warioba pamoja na kwamba upinzani haukuwa na nguvu wakati huo, baada ya kushindwa mzee warioba alikata rufaa na baadae uchaguzi kufutwa na wote kusimamishwa kutogombea, na lazima ijulikane wakati huo warioba alikuwa ndio waziri mkuu na mwalimu nyerere alikuwepo, badae mzee wasira alirudi ccm na kujisagisha ndani ya chama na kuendelea kukijenga mpaka leo.
Tokea hapo mzee wasira amekuwa akishika nyazifa mbalimbali serikalini na kwenye chama chake. Na kuonyesha kwamba ccm wanamtambua na kuheshimu demokrasia ndio maana kwenye uchaguzi wa halmashauri kuu mzee wasira aliongoza kwa kura nyingi alizopigiwa na wanaccm nankuibuka namba 1.
5. Wapo watu wachache sana wanompigia debe mzee wasira tofauti na watu wengine wanaoamini ni lazima watakuwa mataisi nchi by any means, mzee wasira anauzwa na sifa zake sio na wapiga debe wenye njaa na wanaotaka kuvuna pesa....

Nchi yetu ilipo inahitaji mtu mwenye sifa ya kuuelewa uchumi wa kimaendeleo, mtu anayehishimu maadili ya nchi, mtu mwenye msimamo wenye tija kwa nchi yake, mtu mwenye hekima na muadilifu mtu anayeweza kuleta umoja wa kitaifa na kuulinda muungano na mtu mwenye sifa hizi ni STEVEN MASATU WASIRA..

Hata Dovutwa anawaminisha wapambe wake kuwa atashinda kuwa rais, hivyo sio mbaya na wewe ukiwa na mawazo hayo potofu ya Wassira kuwa rais...... hata siku moja hatuwezi kumpa chama msaliti aliyewai kukikimbia chama. Kamwe hatuwezi kumpa mtu chama aliyewai kuukumiwa na mahakama kwa kutoa rushwa..
 
hivi huyu wassira anayelala hovyo bungeni ndio awe raisi halafu kuna watu wanamuita jembe duh kumbe nchi hii ni hatari ole wake aliye vuruga elimu ya nchi hii watu wa nchi hii wamekuwa na upeo mdogo hivi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Eti Jembe..... kisa anatukana wapinzani. Kujibu hoja za wapinzani yaitaji majadiliano ya kina na busara ya hali ya juu sio kuporomosha matusi kama wassira anavyofanya. na tuondokane na akili kuwa mpinzani ni adui, ukweli ni kwamba wapinzani wanasaidia sana katika kurudisha serikali katika mstari.
 
Yaani ni aibu kusema vitu vya kukurupuka tu.jamani hizi njaa zitawapeleka pabaya .msimchafue mzee wa bunda.
 
Wewe ----------- kuchafua wagombea wengine, lakini Wassira hachafuki kwa maandishi yako ya kuunga unga.
 
Kambi imara ya wassira na watu wake wanamikakati ....
Huyo kijana wake zenda nasikitika kuwa hamumfahamu na very soon tutawafahamisha vizuri...maana kilicho andikwa hakuna hata kimoja cha ukweli ni uwongo mtupu kuna vijana wa lowassa juzi alikutana nao pale mlimani city akiwemo na mtoto wa lowassa wakarushiana maneno ... zenda aliwaeleza ukweli kuwa lowassa uraisi asahau.
 
Jamani babu wasira ameshaweka wazi kuwa yeye hagombei kwani uzee umemkaba sana koo, mbona mnamsemea wakati yeye ameshasema anaondoka?

Mnataka aje afie jukwaaani kwa BP?
 
Back
Top Bottom