Nasikia ni WASSIRA au PINDA!

Nasikia ni WASSIRA au PINDA!

Hakuna presidential material ktk hao wawili..

,kama kundi dogo analoliwakilisha la Bunda linamuelemea mpaka analala bungeni,akiwawakilisha watz si atalala UN,hatutak rais mlalavi sisi wala mchekacheka hovyo wala mnyoa vipara wala mwenye maradhi wala mwenye uraia wa utata
 
mkuu funguka, unamtaka yupi?
 
Back
Top Bottom