Kila kukicha vihoja na vitimbwi vinazidi kujitokeza kuelekea uchaguz mkuu wa urais 2015.bila hata chembe ya aibu.jana tareh 7/11/2014 katibu chipukizi na uhamasishaji UVCCM bwana PAUL MAKONDA alionekana Dodoma hoteli akikabana mashati na baadhi ya makatibu na wenyeviti wa vijana UVCCM wa mikoa akiwemo mwenyekit vijana wa Katavi bwana KELVIN MBONGO huku mwenyekiti wa vijana wa mkoa wa Dar es salam bwana MATURANGA akiwashangaa wanavyogombania pesa kiasi cha Tsh milion hamsin(50,000,000 /=) kilichotolewa na mh MIZENGO PINDA ili vijana wa ccm(uvccm) katika kinyang"anyiro chake cha kusaka URAIS 2015.na chanzo cha kuaminika.(raia mwema) wakiwemo vinana waliokosa mgao huo.MASWALI MAWILI YANIUMIZA KICHWA 1.Kweli thamani ya vijana wa ccm yaani UVCCM ni Tsh 50,000,000/=? 2.huyu ndie PINDA mtoto wa mkulima au bepari aliejificha kwenye shamba la Mkulima?