Recent content by mmkhotya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Upotevu: Kitambulisho cha kazi na kadi ya benki

    Ndugu zangu nawatangazia kuwa kuna upotevu wa kitambulisho cha kazi na kadi za bank Canada na Tanzania. Vimepotea katika jiji la Dar. Vilikuwa kwenye pochi moja. Vyote vina jina MAKARIUS PETER ITAMBU. ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA YEYOTE ALIYEVIONA NA KUVIREJESHA. Wasiliana nami kwa namba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Detox: Namna ya kusafisha miili yetu ndani kwa usalama na kupunguza mafuta mwilini

    Kunywa maji ya moto au uvuguvugu glass 3 asubuhi, 4 mchana na 3 ucku. Kula mchemsho wa ndizi asubuhi na mchana kula wanga kidogo na ucku kula mchemsho wa ndizi. Ndizi ziwe mbili mbili kwa kila mchemsho na changanya na mbogamboga au carot na tia limao. Mimi nimetumia hiyo njia nilikuwa na kg 110...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mifuko ya hifadhi ya jamii kiama chaja

    Utaratibu huu utaanza kutumika kwa watakaoajiriwa kwanzia mwaka ujao wa fedha. Wale waliokwisha ajiriwa hawatahusika na ukokotozi huu mpya.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Jimbo la Kalenga: Matukio na Matokeo - 16 Machi, 2014

    Nawatakia kila la kheri wananchi wa Kalenga. Tunawaombea uchaguzi uliotulia na mchague bila kugombana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Gari la CCM limekamatwa likiwa na mapanga na mashoka

    Mtoa post tupia picha ya hilo gari lenye silaha hapa pamoja na Green guards waliovalia rubega.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya maji Chamwino

    Mamla ya Maji safi na Maji taka Chamwino Ikulu yaani CHUWASA imekuwa pasua kichwa kwa wakazi wa Chamwino Ikulu. Mamlaka imekuwa ikisuasua tangu mwaka 2012. Kwa sasa ugawaji wa maji umekwisha na wakazi wa Chamwino Ikulu wamekuwa wakichangia maji na fisi, ng'ombe, punda na wanyama wengine kwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Farijala wa CCM Amshambulia Dkt. Charles Kitima

    Kitima ninavomfahamu mimi ni Padre wa kanisa Katoliki aliyeapa kuachana na mambo yote ya ulimwengu na kuongoza waumini wa kanisa hilo kuelekea mbinguni. Why ajihusishe na siasa za ulimwengu huu? Asubirie waumini waende wakatubu dhambi zao kwake.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

    You stupid Jasusi. Who is that Ighondu you are writing about? I do not know that person. Give me his contacts. I want to tell him to do you hardly Jasusi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

    Are you poor thinkers of CHADEMA still in the allegory of the cave? Not all who post here are CCM members. I am neither a CCM nor CHADEMA member. STUPID POLITICAL APPROACH.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

    Look at you poor politicians. Instead of making arguments you are attacking the grammar. You are very sorry MICHADEMA PUMBAFU. Be critical thinkers and not rotten people. You are ever stinking like toilets.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

    Grammatical errors are never regarded as poor English. Stupid analysis from a stupid man of your kind.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

    Whether you crazy members of CHADEMA accept or not, the truth will always remain in your dead intellects. CHADEMA'S MPs are not worthy to be representatives. They are robbers, pretenders, and Gangsters. Should all be in Arusha? Shame on them and you
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

    CHADEMA's MPs is out of Parliament for more than a week now. I personally see them as immatured in Politics. They are obliged to repressent us in the House but we missed our repressentatives. They have lost their values as MPs.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Majimbo ambayo CCM hawana chao 2015

    TUJADILI RASIMU YA KATIBA GUYS. This is the only moment of thinking and discussing critically and logically about our Constitution draft rather than being in the depth illussion thought of Constituences.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama hili lina ukweli, basi watanzania wasubiri anguko kubwa zaidi la elimu nchini.

    Walimu wamekata tamaa sana. Ndo maana wanafundisha bila kukazia maarifa. Siku hizi walimu wanatoa lecture hata shule za msingi badala ya kufundisho. Kuna dalili kibao za kukata tamaa kwa walimu. WALIMU WAMEACHA UTUMISHI NA KAZI ILA WAMEBAKI NA AJIRA.
Back
Top Bottom