Jimbo la Rorya kwa Lameck Airo a.k.a STD VII.
Mnawajuwa wagombea watakao gombea mwaka 2015? Au mna jazba tuu, na mafanikio ktk majimbo hayo mmeyafanyia tathimni? Muwe mnafikiri kabla ya kutupia uzi humu
Haya ni baadhi ya majimbo ambayo ccm wataya kabidhi upinzani
Haya ni baadhi ya majimbo ambayo ccm wataya kabidhi upinzani
1.jimbo la Aeshi.
2.jimbo la wassira
3.jimbo la mkulo
4.Jimbo la magufuli
5.Jimbo la kafumu
6.jimbo la mkuchika
7.jimbo la makinda
8.jimbo la Lukuvi
9.jimbo la Ndugayi
10.jimbo la Nkamia
11.Arumeru magharibi
12.Simanjiro
13. Babati vijijini kwa Jitu
14. Igunga
Mnaota asubuhi asubuhi
Kwanini mmeondoa ile thred iliyokuwa inasema majimbo ya chadema yatakayopotea 2015?
Haya ni baadhi ya majimbo ambayo ccm wataya kabidhi upinzani
1.jimbo la Aeshi.
2.jimbo la wassira
3.jimbo la mkulo
4.Jimbo la magufuli
5.Jimbo la kafumu
6.jimbo la mkuchika
7.jimbo la makinda
8.jimbo la Lukuvi
9.jimbo la Ndugayi
10.jimbo la Nkamia
mengine unaweza kuongeza.................!
jimbo la shibuda, jimbo la msigwa, jimbo la halima mdee, jimbo la lema, jimbo dr mbasa, jimbo la selasini, jimbo la kiwia na jimbo la sugu.
haina mashiko mkuu
Hawa sio ccm,hujaangalia hata heading?
ina mashiko sema kwa sababu inaikosoa chadema