Upotevu: Kitambulisho cha kazi na kadi ya benki

Upotevu: Kitambulisho cha kazi na kadi ya benki

mmkhotya

Member
Joined
Nov 25, 2012
Posts
43
Reaction score
5
Ndugu zangu nawatangazia kuwa kuna upotevu wa kitambulisho cha kazi na kadi za bank Canada na Tanzania. Vimepotea katika jiji la Dar. Vilikuwa kwenye pochi moja. Vyote vina jina MAKARIUS PETER ITAMBU.

ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA YEYOTE ALIYEVIONA NA KUVIREJESHA.

Wasiliana nami kwa namba 0765 290 010 au 0784 790 257 endapo utaviona ili tukupatie zawadi yako.
 
Back
Top Bottom