Recent content by Mmenyakunde

  1. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Nimekula story lakini sijatoka kitambi

    Pia ingekuwa bora zaidi kama angetumia sumu yakuuwa wadudu ili asichelewe na muda wakusubiri yachemke[emoji23][emoji23]
  2. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Nimekula story lakini sijatoka kitambi

    Natamani na Mimi Kula story ila kama haileti Kitambi Hapana
  3. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Hongera jeshi la polisi kufanikiwa kupata simu yangu S10+ ndani ya 24 toka imeibwa

    Aisee Jamaa una Akili ndefu kweli.bonge La Swali.uko maeneo gani nikupe ata ofa ya Kvant
  4. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Kunaitajika Elimu Kwa vijana wetu na wananchi Kwa ujumla. kuwa wasijaribu kulisogelea gari La mafuta lililopata ajali hasa gari iliyobeba mafuta aina ya patrol yale yanalipuka kama bomu yakipata moto. ni Vema wawe wanafanya uchunguzi kabla yakulisogelea gari.na kunauwezekano hao wenye bodaboda...
  5. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Hajahudhuria SUMMIT hata moja anataka wenzake wahudhurie

    Kwanini tumekiandaa?
  6. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka binti wa miaka 17

    ishu sio kuunga mkono ubakaji .angalia na upande Wa Pili Wa umri Wa huyo kijana.pili huyo binti familia yake inaonyesha haina malezi mazuri Mtoto yuko chini ya miaka 18 lkn anamiliki simu na anawatumia msg wazazi wake kuwa yupo sehemu salama
  7. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Naweza kufanyaje ili niweze kurogwa?

    Yaani unataka urogwe mara ya Pili au?.
  8. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Ni ushamba Kulazimisha majina ya watoto yaendane hata kama hayaleti maana?

    wewe ni mrombo .huwezi kuyatamka vzr hivyo kama sio mwenyeji wa huko
  9. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vichwa vikali vya habari miaka 100 ijayo

    Saud Arabia yaongoza Kwa uuzaji Wa Nyama bora ya Nguruwe Duniani.
  10. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Mioto ya aina tatu...

    Binadamu hajawahi kuishinda Dunia. Muda utaongea .
  11. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Jinsi Bikra Maria alivyompa mtihani kiongozi wa Kanisa, Nabii Zakaria..

    umejibu sahihi kabisa
  12. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanyaje kurudisha uhusiano mzuri na baba yako, kipindi nguvu ya chuki inapokuwa kubwa zaidi?

    Hapo unahitaji kuumiza kichwa kama ulivyoumiza kipindi Mama Anaumwa.Huyo Mzee wako mchukulie kama ni mgonjwa. tafuta dawa yakumponya na sio kumlaumu.Rudi tena Kwa yule mtaalamu wako Wa Tanga lazima kuna msaada utaupata.
  13. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado hatujapata Rais Mzalendo na Intellectual

    Sasa Chadema wametoka wapi tena kwenye mada hii.
  14. Mmenyakunde

    JamiiForums Tanzania Jana iliyopotea: asili ya clips ni chabo

    v mshana Mtani wangu naomba kama inawezekana uniruhusu tuonane.kuna kitu nataka kujifunza kutoka kwako .Sina jingine zaidi.Amani ya Bwana itawale.
Back
Top Bottom