Naweza kufanyaje ili niweze kurogwa?

Naweza kufanyaje ili niweze kurogwa?

Waswahili wanakwambia mchawi hana sababu. Itakua mtaa wako hamna wachawi boss [emoji23][emoji23]
 
Toka nimezaliwa nasikia kuna uchawi, ulogi na mambo kama hayo, sijawahi kushuhudia wala mtu yoyote kuniambia ameshuhudia zaidi ya kua ni hadithi za kuambiwa na mambo ya kihisia tu.

Ni muda sasa natamani kurogwa ila sijapata mtu wa kuniroga. Nakumbuka miaka flani nimewahi kukuta watu usiku wakioga barsbarsni nikawatandika makofi na kuwaamuru wakalale nyumbani, nikategemea nitarogwa wapi, kuna kipindi nilienda Sumbawanga kwa bahati nzuri nikagombana na mzee mmoja aliekua anadaiwa kua ni mchawi, nikategemea kurogwa wapi, na mambo kama hayo mengi ila bado sirogwi. Nimeomba sana anaewajua wachawi awaambie nataka kurogwa lakini wapi.

Sasa naomba kuuliza nafanyaje ili nirogwe, nimpite miti mzee anaedaiwa kua mchawi au nifanyeje? Anaewajua wachawi awaambie niko tayari kurogwa.
Yaani unataka urogwe mara ya Pili au?.
 
watukane wazaliwa wa gamboshi
 
Kuna ngazi mbalimbali, huenda upo ngazi ya juu katika taaluma ya ulozi
 
hata kupost uzi tu jf na kwenyewe inaweza kuwa ni kurogwa,kurogwa si lazima upindishwe domo baba
 
Njoo kigamboni kuna mbuzi hazina mwenyewe zinazaana na kutembea ovyo, njoo ukamate moja tu uchinje utapata matokeo ya unachokitafuta.

N:B
Kabla ya zoezi hilo hakikisha unampa ndugu yako wa karibu password ya JF ili baadae aje atupe mrejesho.
 
*kwann unataka kurogwa mkuu?
*je wakishindwa kukuroga utachukua hatua gan?
*au wakifanikiwa kukuroga utafanya nn?
#una shingap nikutafutie wa kukuroga!?
 
Nenda Tanga sehemu inaitwa Potwe. Fika pale umevaa nadhifu halafu tongoza mke wa mtu.
 
Huku mkuu tutamnyoa mpaka zivuma! Akamwulize Anna Abdallah wakati huo akiwa msichana aliletwa kuwa mkuu wa wilaya ya Magu. Akataka kuhamishia makao makuu ya wilaya sehemu moja inaitwa Bulima. Akayatukana majamaa tunayaita Maghindu, kwamba hakuna uchawi wa hivyo na kwake watakwama! Kesho yake akajikuta yuko kwenye uwanja wa mpira huku kule chini kumenyolewa kwa ustadi wa hali ya juu ambayo alikuwa hajawahi kuona! Hapo pia majamaa yatakuwa yalijishindia kitu swafi kabisa!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Baadae nini kikaendelea kwa huyo mkuu wa wilaya?
 
Toka nimezaliwa nasikia kuna uchawi, ulogi na mambo kama hayo, sijawahi kushuhudia wala mtu yoyote kuniambia ameshuhudia zaidi ya kua ni hadithi za kuambiwa na mambo ya kihisia tu.

Ni muda sasa natamani kurogwa ila sijapata mtu wa kuniroga. Nakumbuka miaka flani nimewahi kukuta watu usiku wakioga barsbarsni nikawatandika makofi na kuwaamuru wakalale nyumbani, nikategemea nitarogwa wapi, kuna kipindi nilienda Sumbawanga kwa bahati nzuri nikagombana na mzee mmoja aliekua anadaiwa kua ni mchawi, nikategemea kurogwa wapi, na mambo kama hayo mengi ila bado sirogwi. Nimeomba sana anaewajua wachawi awaambie nataka kurogwa lakini wapi.

Sasa naomba kuuliza nafanyaje ili nirogwe, nimpite miti mzee anaedaiwa kua mchawi au nifanyeje? Anaewajua wachawi awaambie niko tayari kurogwa.
Una akili timamu?
 
Cha kwanza uchawi haupo,na wote wanao hofiwa kurogwa wanajiroga na hofu zao tu.umri wangu sasa ni miaka 58 nagundua vitu vingi ni vya kufikirika tu.
 
Hapa unataka apewe kesi ya wizi

Huyu anataka kulogwa kama kuna anayeweza ajitokeze

Back
Top Bottom