Research zote za Wazungu, research zote za Wachagga wenyewe, research zote za wasomi wengine kwa ujumla zinahusu Wachagga, Wachagga, Wachagga, hakuna research inayomhusu Mrombo kwa kuwa hakuna kitu kama hicho, ila kuna Rombo kama moja ya eneo wanaloishi Wachagga, wewe unatokea huko na kujiamulia...