Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 345
- 249
hawa jamaa sawa na mluguru aungane na mzaramo ,mkwele mpogoro sijui mkaguru waseme ni kabila moja
Ahsante ubarikiwe.Wewe mtu unakosea sana, kwanza unapaswa kujua Kichagga cha kuanzia Marangu Mwika yote mpaka Mamba, Marangu Mtoni, Kirua Vunjo, Kilema, Old Moshi yote mpaka Uru ni lugha moja kwa almost 100% tofauti ni matamshi machache ambayo unaweza kuzungumza na mtu hata lisaa lizima mkiwa bado hamjataja hayo maneno yanayotofautiana na hata mkiyataja utakuta tofauti labda ni herufi o na e, au r na d
Kwa hiyo Wachagga wa Marangu, Uru na Old Moshi wanaelewana 100%, ukija Kibosho nao wanaelewana na hawa wa Marangu, Uru na Old Moshi kwa almost 95%, yani naweza kusikiliza wimbo umeimbwa na mtu wa Kibosho na kuuelewa kila kitu au kuna sehemu naweza nisielewe vizuri kumbe kuna namna tu neno lilipindishwa kidogo, tofauti iliyopo ni kuna baadhi ya vocabulary chache sana unaweza kukuta wanatamka tofauti au salamu wanaitaja tofauti japo unaelewa, kwa mfano mtu wa Kibosho anaweza kusema Kida lo Assenga?, Mtu wa Marangu, Uru na Old Moshi anajua Kida maana yake ni Vp au Inakuwaje, lakini wao hawasalimiani hivyo
Ukija Machame na Rombo nao utakuta bado unawaelewa kwa more than 80% tofauti na kwamba kuna vocabularies kadhaa ziko tofauti, lakini pia mchaagga yeyote akimsikiliza mchagga mwingine yeyote kwa makini anaweza kumuelewa almost kila kitu
Kitu kilicholeta utofauti mdogo uliopo ni ule umbali wa kijiografia and nothing else!
Karne nyingi zilizopita kutokana na uhasama wa baadhi ya machifu ulisababisha mwingiliano kupungua na ndio ukazaa utofauti mdogo uliopo
Nashukuru umethibitisha utofauti uliopo na hivyo nahitimisha tu kuwa mko tofauti. Suala la msamiati kuingiliana ni la kawaida sana kwa watu walio majirani ambao lugha zao ni tofauti.Wewe mtu unakosea sana, kwanza unapaswa kujua Kichagga cha kuanzia Marangu Mwika yote mpaka Mamba, Marangu Mtoni, Kirua Vunjo, Kilema, Old Moshi yote mpaka Uru ni lugha moja kwa almost 100% tofauti ni matamshi machache ambayo unaweza kuzungumza na mtu hata lisaa lizima mkiwa bado hamjataja hayo maneno yanayotofautiana na hata mkiyataja utakuta tofauti labda ni herufi o na e, au r na d
Kwa hiyo Wachagga wa Marangu, Uru na Old Moshi wanaelewana 100%, ukija Kibosho nao wanaelewana na hawa wa Marangu, Uru na Old Moshi kwa almost 95%, yani naweza kusikiliza wimbo umeimbwa na mtu wa Kibosho na kuuelewa kila kitu au kuna sehemu naweza nisielewe vizuri kumbe kuna namna tu neno lilipindishwa kidogo, tofauti iliyopo ni kuna baadhi ya vocabulary chache sana unaweza kukuta wanatamka tofauti au salamu wanaitaja tofauti japo unaelewa, kwa mfano mtu wa Kibosho anaweza kusema Kida lo Assenga?, Mtu wa Marangu, Uru na Old Moshi anajua Kida maana yake ni Vp au Inakuwaje, lakini wao hawasalimiani hivyo
Ukija Machame na Rombo nao utakuta bado unawaelewa kwa more than 80% tofauti na kwamba kuna vocabularies kadhaa ziko tofauti, lakini pia mchaagga yeyote akimsikiliza mchagga mwingine yeyote kwa makini anaweza kumuelewa almost kila kitu
Kitu kilicholeta utofauti mdogo uliopo ni ule umbali wa kijiografia and nothing else!
Karne nyingi zilizopita kutokana na uhasama wa baadhi ya machifu ulisababisha mwingiliano na kupungua na ndio ukazaa utofauti mdogo uliopo
Nashukuru umethibitisha utofauti uliopo na hivyo nahitimisha tu kuwa mko tofauti. Suala la msamiati kuingiliana ni la kawaida sana kwa watu walio majirani ambao lugha zao ni tofauti.
Ukisema mmetofautiana kwa sababu ya umbali kijiografia, haikubaliki kwa sababu zifuatazo:-
1. Wasukuma ni kabila kubwa kuliko wote tanzania. Wamesambaa mikoa kadhaa hapa nchini na walikuwa na utawala wa kichifu kama mlivyo watu wa kilimanjaro. Lkn msukuma wa shinyanga anaongea sawa tu na wa mwanza na wa geita na wa simiyu.
Iweje kaeneo kadogo kiasi hicho ndo kawe na tofauti ta lugha hadi kwa 80%?
2. Kabila la wanyamwezi kwa usiyejua utasema ni wasukuma, karibia kila kitu wanefanana lkn hawajiiti wasukuma bali wanajitambua ni wanyamwezi. Pia wanyantuzu japo wengine tunawaita ni wasukuma lkn wenyewe wanakataa. Iweje kwa watu wa moshi, hai, siha kaeneo kadogo tu?
Mko tofauti na mnajipambanua kwa lugha zenu. Na hamwezi kuongea lugha hadi ujue unaongea na wa wapi. Halafu wapo wanaojitwalia ukuu wa kichaga kuwa wao ndio wenyewe wengine mamluki. Na kila mmoja anamwita mwenzake wa kuja.
Utasikia mtu anatamba, mie wa old moshi ndo mchaga halisi, wengine wakuja tu.
Na wapare je? Kuna wasangi, wagweno n. k hao vp vitu vingine inabidi ukabali kama vilivyo other wise ni husda na wivu tuu.Nashukuru umethibitisha utofauti uliopo na hivyo nahitimisha tu kuwa mko tofauti. Suala la msamiati kuingiliana ni la kawaida sana kwa watu walio majirani ambao lugha zao ni tofauti.
Ukisema mmetofautiana kwa sababu ya umbali kijiografia, haikubaliki kwa sababu zifuatazo:-
1. Wasukuma ni kabila kubwa kuliko wote tanzania. Wamesambaa mikoa kadhaa hapa nchini na walikuwa na utawala wa kichifu kama mlivyo watu wa kilimanjaro. Lkn msukuma wa shinyanga anaongea sawa tu na wa mwanza na wa geita na wa simiyu.
Iweje kaeneo kadogo kiasi hicho ndo kawe na tofauti ta lugha hadi kwa 80%?
2. Kabila la wanyamwezi kwa usiyejua utasema ni wasukuma, karibia kila kitu wanefanana lkn hawajiiti wasukuma bali wanajitambua ni wanyamwezi. Pia wanyantuzu japo wengine tunawaita ni wasukuma lkn wenyewe wanakataa. Iweje kwa watu wa moshi, hai, siha kaeneo kadogo tu?
Mko tofauti na mnajipambanua kwa lugha zenu. Na hamwezi kuongea lugha hadi ujue unaongea na wa wapi. Halafu wapo wanaojitwalia ukuu wa kichaga kuwa wao ndio wenyewe wengine mamluki. Na kila mmoja anamwita mwenzake wa kuja.
Utasikia mtu anatamba, mie wa old moshi ndo mchaga halisi, wengine wakuja tu.
Ha ha ha wachaga ni kabila dhania lkn warombo, wauru, wamachame ni watu halisi mkuu.Wewe unayesema hakuna kabila la Wachagga kwanza kabisa naamini wewe si Mchagga maana ungekuwa Mchagga usingeongea hivyo
Kwa kukusaidia tu ni kwamba Wachagga wanafanana kwa kila kitu, hiyo tofauti iliyopo ni maeneo tu wanayotoka lakini mambo mengine yote wanaenda sawa
Kwanza mila na desturi za Wachagga wote ni moja yaani kuanzia vyakula vya asili, vinywaji vya asili, majani na miti ya asili, uchumba, ndoa, uongozi, majina ya machifu, imani za kidini kila kitu ni kimoja
Pili Wachagga huwezi kuwatenganisha kwani muingiliano wao ni wa kindugu zaidi hapa namaanisha koo au familia za kichagga zinapatikana maeneo yote ya uchagga, kwa mfano utakuta Massawe anapatikana Rombo, Kilema, Kirua Vunjo, Old Moshi, Uru, Kibosho na Machame
Ukikuta Temba anapatikana KIbosho, Uru, Old Moshi, Marangu
Ukikuta Ngowi anapatikana, Kibosho, Uru, Old Moshi, Marangu, Rombo
Ukikuta Kimaro anapatikana Machame, Kibosho, Uru, Old Moshi, Marangu, Rombo
Sasa kwa akili yako watu hawa unawatofautisha vipi?
Yani unaanzaje kunishawishi kwamba Urassa aliyeko Machame na Urassa aliyeko Rombo sio ndugu, wakati hatujasikia Urassa aliyepo Tanga?
Pia Wachagga wanafahamiana, wanatambuana na wanafahamu kwamba wao ni wachagga na mtu ambaye si mchagga wanajua si mwenzao na wanamuita kyasaka au (mndu o nuka) wakimaanisha mtu wa porini, kwa mfano unaweza kuulizwa huyo mtu ni mchagga?, unasema ee ni mchagga kutoka Rombo au Uru au Sanya Juu, lakini kama si mchagga utasikia tu hapana si mchagga ni kyasaka yaani hatokei sehemu yoyote ya uchagga
Mfumo wa Umangi na lugha zote zinafanana ila kuna kuwepo utofauti mdogo unasababishwa na ule umbali wa kijiografia kutoka sehemu moja mpaka nyingine
Ni kawaida kutokea utofauti kidogo wa lugha pale jamii zinapokuwa zimegawanyika kiuongozi hata kama ni jamii moja
Naamini mpaka hapo nimekusaidia kwa kiasi kama unataka kufahamu zaidi vipo vitabu vingi sana vinavyowahusu Wachagga katika maktaba karibu zote za vyuo vikuu nchini upitie utafahamu zaidi
Kwa maelezo zaidi nifuate inbox
Karibu sana
Wapare sijawahi kusikia wakituhumiana kuwa wewe si mpare ila wachaga kila siku wanakataana. Wapare ni wamoja ukilinganisha na wachaga mkuuNa wapare je? Kuna wasangi, wagweno n. k hao vp vitu vingine inabidi ukabali kama vilivyo other wise ni husda na wivu tuu.
Wewe unayesema hakuna kabila la Wachagga kwanza kabisa naamini wewe si Mchagga maana ungekuwa Mchagga usingeongea hivyo
Kwa kukusaidia tu ni kwamba Wachagga wanafanana kwa kila kitu, hiyo tofauti iliyopo ni maeneo tu wanayotoka lakini mambo mengine yote wanaenda sawa
Kwanza mila na desturi za Wachagga wote ni moja yaani kuanzia vyakula vya asili, vinywaji vya asili, majani na miti ya asili, uchumba, ndoa, uongozi, majina ya machifu, imani za kidini kila kitu ni kimoja
Pili Wachagga huwezi kuwatenganisha kwani muingiliano wao ni wa kindugu zaidi hapa namaanisha koo au familia za kichagga zinapatikana maeneo yote ya uchagga, kwa mfano utakuta Massawe anapatikana Rombo, Kilema, Kirua Vunjo, Old Moshi, Uru, Kibosho na Machame
Ukikuta Temba anapatikana KIbosho, Uru, Old Moshi, Marangu
Ukikuta Ngowi anapatikana, Kibosho, Uru, Old Moshi, Marangu, Rombo
Ukikuta Kimaro anapatikana Machame, Kibosho, Uru, Old Moshi, Marangu, Rombo
Sasa kwa akili yako watu hawa unawatofautisha vipi?
Yani unaanzaje kunishawishi kwamba Urassa aliyeko Machame na Urassa aliyeko Rombo sio ndugu, wakati hatujasikia Urassa aliyepo Tanga?
Pia Wachagga wanafahamiana, wanatambuana na wanafahamu kwamba wao ni wachagga na mtu ambaye si mchagga wanajua si mwenzao na wanamuita kyasaka au (mndu o nuka) wakimaanisha mtu wa porini, kwa mfano unaweza kuulizwa huyo mtu ni mchagga?, unasema ee ni mchagga kutoka Rombo au Uru au Sanya Juu, lakini kama si mchagga utasikia tu hapana si mchagga ni kyasaka yaani hatokei sehemu yoyote ya uchagga
Mfumo wa Umangi na lugha zote zinafanana ila kuna kuwepo utofauti mdogo unasababishwa na ule umbali wa kijiografia kutoka sehemu moja mpaka nyingine
Ni kawaida kutokea utofauti kidogo wa lugha pale jamii zinapokuwa zimegawanyika kiuongozi hata kama ni jamii moja
Naamini mpaka hapo nimekusaidia kwa kiasi kama unataka kufahamu zaidi vipo vitabu vingi sana vinavyowahusu Wachagga katika maktaba karibu zote za vyuo vikuu nchini upitie utafahamu zaidi
Kwa maelezo zaidi nifuate inbox
Karibu sana
Waha wanasikilizana na warundi,wahangaza wa ngara ndo wanasikilizana na wanyarwanda....Waha wanasikilizana na wahutu wa burundi na rwanda hata mila na desturi zinafanana.
Ha ha ha wachaga ni kabila dhania lkn warombo, wauru, wamachame ni watu halisi mkuu.
Mila na desturi pia ni tofauti. Na nyie wenyewe mmethibitisha hilo kwa nyakati tofauti.
Utakuta machame anakataza kuoa mrombo, marangu hataki wa kishumundu ha ha ha mnatuhumiana kuwa baadhi yenu mna roho mbaya sana.
Wale wanaosifika kuua waume zao ili warithi mali mnawajua.
Wale wanaosifika kuwa na roho safi wanajulikana.
Wale wanaosifika kwa kuwa wasakatonge lkn kwa njia halali wanajulikana.
Wasomi pia na wastaarabu wanajulikana.
Mko tofauti sana mkuu
Wote wanasikilizana lkn kuna utofauti na unapanuka kutoka moja kwenda nyingine.Waha wanasikilizana na warundi,wahangaza wa ngara ndo wanasikilizana na wanyarwanda....
Nasikia wangoni wa songea walikimbia kuchapwa makofi south africa wakakimbilia Tanzania wangoni wa songea na wa south lugha sikilizanaWaha wanasikilizana na wahutu wa burundi na rwanda hata mila na desturi zinafanana.
Umeulizwa swali hapo juu, labda ndo unalijibu. Nijibu kwa ufupi kabisa, bila mboyoyo.Naona kila nikijaribu kukueleza kwa hoja zenye mashiko na mifano hai jinsi gani Wachagga ni wamoja na huwezi kuwatenganisha wewe unaendele kuleta maneno ya mitaani
Labda nikusaidie ni kwamba Wachagga ni watu wenye asili ya mapinduzi na harakati, Wachagga kwa historia au hata ukijaribu ku-observe kwa makini ni jamii moja ila imekaa maeneo tofauti na mwanzo walikuwa na mtawala mmoja lakini kutokana na kutoridhishwa na baadhi ya maamuzi ya uongozi yalianza kutokea mapinduzi mbalimbali yaliyozaa kingdom ndogo ndogo ambazo ndio zilileta huo utofauti unaouona
Lakini hata hivyo baadaye baada ya kuishi karne kadhaa wakiwa wamegawanyika kwa kingdom ndogo ndogo wali-reunite na kurudi tena kuwa Kingdom moja baada ya kutambua umuhimu wa kuwa Wamoja na ulifanyika uchaguzi wakaweza kuchagua kiongozi mkuu wa Wachagga wote kidemokrasia kabisa kabla nchi ya Tanganyika haijakuwepo
Kulikuwa kuna chama cha siasa kinaitwa Chagga Democratic Party
Wewe unasema Wachagga kama kabila hawapo, lakini research zote zinazofanyika zinahusu Wachagga, hata vitabu vilivyoandikwa na Wachagga wenyewe zamani vimeandikwa na Wachagga vinahusu Wachagga kama Wachagga
Mangi Petro Itosi Marealle mwaka 1946 aliandika kitabu "Maisha ya Mchagga Hapa Duniani na Ahera" huyo alikuwa ni Mangi Mwitori wa Vunjo, kungekuwa ni makabila tofauti angeandika Maisha ya Mmarangu lakini yeye anajua hakuna kitu kinaitwa Mmarangu bali kuna sehemu inayoitwa Marangu ambayo ni moja kati ya maeneo wanaoishi Wachagga
Katika kitabu chake Mangi Petro Itosi Marealle 1946 amezungumzia lifestyle ya Wachagga na kuelezea mila na desturi karibu zote za Wachagga kwa karne nyingi zilizopita na hakuna sehemu amesema Mkibosho alifanya vile au vile, amezungumzia Wachagga huku akijua Kibosho, Old Moshi au Machame ni moja kati ya maeneo wanayotokea Wachagga lakini sio jamii tofauti
Ukitaka kuwatofautisha Wachagga hutaweza, maana hauwatofautishiki na ni jamii ambayo ni ndugu wote wa moja kwa koo zao ziko maeneo yote ya Uchagga kitu ambacho kinaashiria ni Wamoja wanaoishi maeneo tofauti kwani hamuwezi wote mkaishi eneo moja litakalotajwa kwa jina moja
Hoja kwamba hawa wana tabia hii na wale wana tabia ile ni dhaifu sana kwani hakuna watu wanaowezakuishi kama jamii kukaacha kuwa na utofauti mdogo lakini kukawa na ufanano mkubwa, Wachagga ufanano mkubwa kuliko viutofauti vidogo, wote ni watafutaji, wote ni wapenda maendeleo na wote ni optimists sana, na wana-appreciate each other pale anapotokea mtu wa tofauti na wao
Umeandika maneno mengi lkn ni kwamba unazunguka pale pale tu kama wenzako, tuanze taratibu, ni nini maana ya Kabila? Hayo mambo yote ulioyataja yapo kwa baadhi ya wanaoitwa Wapare pia hata ukivuka boda upande wa Kenya kuna watu wanaitwa Wataita wana hayo yote uliyoyataja hata lugha wanaingiliana na wanaoitwa Wachaga TZ mbona hawaitwi kabila la Wachaga?
Hivyo tuanzie hapo niambie maana ya Kabila kwanza!
Acha mbwembwe wanaitwa waorombo au ungetaka waitweje na lugha yao inajulikana kiorombo au ungetaka waitwe wamorangu.Kuna watu wagumu kuelewa Rombo ni eneo linaitwa Rombo na wala sio kabila. Ni sawa na kusema watu wa Dar sasa utasema wa Dar ni kabila.
Research zote za Wazungu, research zote za Wachagga wenyewe, research zote za wasomi wengine kwa ujumla zinahusu Wachagga, Wachagga, Wachagga, hakuna research inayomhusu Mrombo kwa kuwa hakuna kitu kama hicho, ila kuna Rombo kama moja ya eneo wanaloishi Wachagga, wewe unatokea huko na kuanzisha na kujiamulia kwamba hakuna Wachagga wenzako wamefanya research kwa miaka na miaka na wamezunguka eneo lote na kuzungumza na wahusika na na ku-observe takwimu zote za kihistoria hawajawahi kuona kitu unachosema, wewe unakuja kukomenti na kuja na kitu ambacho akili yako inakuaminisha na wewe unapenda kusikia hivyo
Acha kujibu hoja kwa wepesi wakati swali linajitosheleza ipo hivi wewe kama wewe ukitoka hapa leo na kwenda nchi za mbali utajulikana kutokana na utaifa wako hao wenyeji hatakujua na uchaga wako, sijui msambaa, ndio kama ilivyo kwa wachaga wakienda nje ya mkoa watajulika kwa umoja wao kwamba huyu ni mchaga na huyu ni mpare linapokuja swala la lafudhi ndio hapo inatokea utengano huyu muorombo, mkibosho, mmachame n.kResearch zote za Wazungu, research zote za Wachagga wenyewe, research zote za wasomi wengine kwa ujumla zinahusu Wachagga, Wachagga, Wachagga, hakuna research inayomhusu Mrombo kwa kuwa hakuna kitu kama hicho, ila kuna Rombo kama moja ya eneo wanaloishi Wachagga, wewe unatokea huko na kujiamulia tu kichwani kwamba hakuna Wachagga wenzako wamefanya research kwa miaka na miaka na wamezunguka eneo lote na kuzungumza na wahusika na na ku-observe takwimu zote za kihistoria hawajawahi kuona kitu unachosema, wewe unakuja kukomenti na kuja na kitu ambacho akili yako inakuaminisha na wewe unapenda kusikia hivyo