Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
Uko sahihihapo kwa wameru ni uongo mtupu wameru wa kenya hawasikilizani na hawa watz wameru wa tz wanasikilizana na wamachame
Uko sahihihapo kwa wameru ni uongo mtupu wameru wa kenya hawasikilizani na hawa watz wameru wa tz wanasikilizana na wamachame
Wewe wasemaKwahiyo unataka kuniambia Zitto ni Mrundi.
Kwa kifupi wameru wametokea uchagani walipohamia maeneo ya mlima meru inasemekana walichanganyika na wamasai ndipo wameru wakapatikana...wajuzi wajeSwali langu kwako, kwa nini Wameru hawaitwi Wachaga kama wanasikilizana na Wamachame ambao wanajiita Wachaga? Au kwa nini Wamachame hawasikilizani na Warombo au Wakibosho wakati wote wanaitwa/wanajiita Wachaga?
Kwa kifupi wameru wametokea uchagani walipohamia maeneo ya mlima meru inasemekana walichanganyika na wamasai ndipo wameru wakapatikana...wajuzi waje
Ebu rudia kusoma vizuri.Ok. Jibu haya:-
1. Kichaga ni lahaja ipi?
2. Nani aliyesanifisha lahaja hiyo kuwa kichaga?
Si kweli, kusikilizana kidogo kwa lugha hakuna uhusiano na wameru kuwa wachaga. Hata mila hazifanani ila zinakaribiana kama ilivyo kwa kabila nyingi za Afrika. Tafuta historia yao utajua origin yao iko vipi.Kwa kifupi wameru wametokea uchagani walipohamia maeneo ya mlima meru inasemekana walichanganyika na wamasai ndipo wameru wakapatikana...wajuzi waje
Umejitahidi kujenga hoja lakini historia ndivyo ilivyo...nimejaribu kuhoji wazee wa kimeru kuhusu uhusiano wao na wamachame,, majibu niliyopata ni kuwa babu zao wameru wametokea uchagani yaani wamachame, hata kijiografia wamepakana kiasi flaniSi kweli, kusikilizana kidogo kwa lugha hakuna uhusiano na wameru kuwa wachaga. Hata mila hazifanani ila zinakaribiana kama ilivyo kwa kabila nyingi za Afrika. Tafuta historia yao utajua origin yao iko vipi.
Sasa huoni mfano wako haulingani? Kiswahili ni lahaja ya kiunguja iliyosanifishwa. Hadi mwaka wa kusanifishwa upo. Sasa kichaga ni kipi, na kimesanifiwa na nani? Hapo unachanganya.Ebu rudia kusoma vizuri.
Ni kwamba nilitoa mfano wa kiswahili kuwa na lahaja nikarelate na kichaga chenye vikundi ving vinavyoshea matamshi, muundo wa sentensi,msamiati,sarufi ndio maana kikibosho, kisiha, kimarangu n. k ni kichaga kwa sababu vinashea hiyo mifano niliyokutajia.
Sijasema kichaga kina lahaja.
Kwa hiyo kwa maelezo yako unakubalina na mimi na kile ninachoamini siku zote kwamba HAKUNA kitu kama Kabila la Kichaga Dunia hii? Na badala yake kilichopo ni makundi mbalimbali ya watu yaliounganishwa na Wageni na hapa Wazungu kwa lengo la kututawala Waafrika?
Na hapa ni Tanzania nzima vivyo hivyo kama vile hakuna kitu kama Kabila la Wahaya au sijui Wasukuma au sijui Wanyakyusa wote hawa ni matokeo ya Ukoloni aidha Waarabu au Wazungu!
Swali zuri sanaSwali langu kwako, kwa nini Wameru hawaitwi Wachaga kama wanasikilizana na Wamachame ambao wanajiita Wachaga? Au kwa nini Wamachame hawasikilizani na Warombo au Wakibosho wakati wote wanaitwa/wanajiita Wachaga?
Tatizo la hawa Wanajifanya kabila kubwa ilhali ni muunganiko wa koo(Unajua nini...Wa Rombo na Wakibosho hawasikilizani lakini wote wanajinasibu kuwa ni wachagga,,,lipi jema?Wote kuitwa Wameru ilhali hamsikilizani au muitwe majina tofauti na huku mwasikilizana?)
Mkuu ipo hiviSwali langu kwako, kwa nini Wameru hawaitwi Wachaga kama wanasikilizana na Wamachame ambao wanajiita Wachaga? Au kwa nini Wamachame hawasikilizani na Warombo au Wakibosho wakati wote wanaitwa/wanajiita Wachaga?
Picture this "Bukoba bway"Chaga na kikuyu wamefanana kitu kimoja tu.WIZI
Wewe unayesema hakuna kabila la Wachagga kwanza kabisa naamini wewe si Mchagga maana ungekuwa Mchagga usingeongea hivyo
Kwa kukusaidia tu ni kwamba Wachagga wanafanana kwa kila kitu, hiyo tofauti iliyopo ni maeneo tu wanayotoka lakini mambo mengine yote wanaenda sawa
Kwanza mila na desturi za Wachagga wote ni moja yaani kuanzia vyakula vya asili, vinywaji vya asili, majani na miti ya asili, uchumba, ndoa, uongozi, majina ya machifu, imani za kidini kila kitu ni kimoja
Pili Wachagga huwezi kuwatenganisha kwani muingiliano wao ni wa kindugu zaidi hapa namaanisha koo au familia za kichagga zinapatikana maeneo yote ya uchagga, kwa mfano utakuta Massawe anapatikana Rombo, Kilema, Kirua Vunjo, Old Moshi, Uru, Kibosho na Machame
Ukikuta Temba anapatikana KIbosho, Uru, Old Moshi, Marangu
Ukikuta Ngowi anapatikana, Kibosho, Uru, Old Moshi, Marangu, Rombo
Ukikuta Kimaro anapatikana Machame, Kibosho, Uru, Old Moshi, Marangu, Rombo
Sasa kwa akili yako watu hawa unawatofautisha vipi?
Yani unaanzaje kunishawishi kwamba Urassa aliyeko Machame na Urassa aliyeko Rombo sio ndugu, wakati hatujasikia Urassa aliyepo Tanga?
Mfumo wa Umangi na lugha zote zinafanana ila kuna kuwepo utofauti mdogo unasababishwa na ule umbali wa kijiografia kutoka sehemu moja mpaka nyingine
Ni kawaida kutokea utofauti kidogo wa lugha pale jamii zinapokuwa zimegawanyika kiuongozi hata kama ni jamii moja
Naamini mpaka hapo nimekusaidia kwa kiasi kama unataka kufahamu zaidi vipo vitabu vingi sana vinavyowahusu Wachagga katika maktaba karibu zote za vyuo vikuu nchini upitie utafahamu zaidi
Kwa maelezo zaidi nifuate inbox
Karibu sana
Sio tu walijifanya kuwa kabila kubwa bali pia ni kabila lenye watu wakini, wenye maendeleo, wenye upeo, utajiri, elimu, utamaduni, mila na desturi bora katika taifa.Tatizo la hawa Wanajifanya kabila kubwa ilhali ni muunganiko wa koo
Hongera mchaga, lakini urais mtausikilizia kwenye bomba!Sio tu walijifanya kuwa kabila kubwa bali pia ni kabila lenye watu wakini, wenye maendeleo, wenye upeo, utajiri, elimu, utamaduni, mila na desturi bora katika taifa.
Wachagga ni kioo cha mtanzania kama wewe.
sijui kwanini mnaumia sana kila jambo linalogusa wachaga.Tatizo la hawa Wanajifanya kabila kubwa ilhali ni muunganiko wa koo
Sasa huoni mfano wako haulingani? Kiswahili ni lahaja ya kiunguja iliyosanifishwa. Hadi mwaka wa kusanifishwa upo. Sasa kichaga ni kipi, na kimesanifiwa na nani? Hapo unachanganya.
Kifupi ni kuwa kibosho ni kibosho, kimarangu ni kimarangu, ki uru ni ko uru na kimachame vivyo hivyo. Katika lugha zote hizo, ipi tuiite ndiyo kichaga? Na kwa mantiki hiyo, yupi ni mchaga?