Recent content by Mmea Jr

  1. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania LEO naomba niongee na Wazee wa Kubet almaarufu kama Maafisa Wakamalia ambao ni walipa KODI

    Kingine ,, lazima ujuelize kwanini una bet ?? ,,, ukijibu Tena jiulize Tena nikiasi gani ungependa ushinde ( hii umeshaisemea kwa namna Fulani ) . Na katika huo mchakato wa kutafuta hicho kiasi upo tayari kupoteza kiasi gani ? Hii itasaidia kujua ni muda gani uache ndala ..
  2. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Ndoto za kurudi Shule na Kijijini kwenu zina Maana Gani?

    Mmhh ,, nilishawahi kuota kama wewe ,, kiasi Fulani naweza sema kweli ..
  3. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwa uelewa wangu kama ntakuwa nakosea naomba kurekebishwa Wakisema kuanzia tarehe 16 - 12 - 2025 hadi 27- 09 - 2026 .. Huwa wanamaanisha majina ya watu wote waliofanya oral interview kuanzia hiyo tarehe 27 mwezi wa 9 , mwezi 10 , 11 , 12 , 1, mpaka mwezi wa 7 .. hivi ndiyo ambayo Huwa...
  4. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nasukuru nimekuelewa vizuri sana
  5. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kazi ipo,,, ukiangalia PDF ya jana inaonyesha walifanya usaili kati ya mwezi wa 12 mwaka 2025 na mwezi wa 7 mwaka 2026 .. Ina maana kama ulifanya oral mwaka jana kuanzia mwezi wa 8 , 9 , 10 , na 11 ndiyo bye bye ,, usubilie status ya " your data bank has expired " au wataanza kurudi nyuma...
  6. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Miaka mitatu pia ni wazo zuri pia ,, hivi haya mawazo Huwa wanapita huku angalau na kuyasoma kweli ??
  7. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Niliwahi kuandika comment kama hii huko nyuma kwamba ,, mwiba mwingine amboa wasaka ajira AKA jobless wanaenda kukutana nao ni huu " your data bank has expired " lakin wajua wa jamiiforum walikuja na kunipinga kwa maneno makali kwamba oooh sijui nalia Lia wengine walidiliki hadi kunifananisha na...
  8. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nimekuelewa vizuri sana . ila another flasturation jobless watakutana nayo nipale unaingia kwenye account Yako unakutana na taarifa data base ime - expire .. huu utakuwa mwiba mwingine mchungu sana aisee .. wengi wameweza ku - attend hizo oral wakiwa tayari wameshaingia cost kubwa sana ...
  9. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tuwe na subira ,, watakuja kutolea ufafanuzi zaidi huko mbeleni , naona kwenye maelezo yao hili wamelisahau .. au itakuwa wote wameandikiwa passed and stored in data base.
  10. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kama ndiyo h
  11. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwa kweli utumishi ni mwendo wa kuvuruga jobless mpaka maji wayaite mma huko mitaani ..
  12. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Jamaa yangu kaandikiwa passed and stored in data bank .. lakn Sasa ni interview ambayo oral alifanya mwaka jana mwezi 8 . Lakin ukiangalia PDF zinazotoka wapo kwa waliofanya oral kuanzia mwenzi wa 12 mwaka jana mpaka mwaka huu mwezi wa 8 .. Ina maana Kuna PDf zitakazotoka ambazo taraehe yake...
  13. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Utumishi wanaangalia vigezo gani kumpa mtu kazi?

    Sawa ,,, wewe mwenye uelewa wa juu ungekuwa kazini Sasa hivi ..
  14. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Utumishi wanaangalia vigezo gani kumpa mtu kazi?

    Hata ningeelewa ulichokielezea hakipo ,, hizi ni story za mitandaoni hamna kitu kama hicho utumishi
  15. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Utumishi wanaangalia vigezo gani kumpa mtu kazi?

    Wapi huko wanapofanya hivi ?? Mbona sijawahikuona wakielezea kwenye kanuni zao kuwa ukiona green color ujue upo data base ukiona yellow ujue umekosa ? Mkuu au huu ni mitazamo wako binafsi ?
Back
Top Bottom