Recent content by Mmbu

  1. M

    JamiiForums Tanzania KOROSHO NGOMA NZITO: Wakulima Watinga ofisini kwa Mkuu wa Wilaya kudai malipo yao

    Penye uongo ukweli ujitenga Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Clouds Media Group walia na ugumu wa biashara, Kusaga adai wanaweza kufunga hali ikiendelea hivi

    Tutalimia meno na kila mtu ataguswa na atanena kwa lugha yake
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama una korosho na huna shamba hutalipwa

    Hakuna jambo baya kama kudhulumu haki za watu hiyo laana haitokuacha kamwe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akagua magari ya Jeshi yatakayobeba Korosho iwapo Wanunuzi hawatanunua

    Kazi kubwa ipo aisee, uwezo wetu wa kufikiria ndio umeishia hapa, ngoja tuone Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kimawazo

    Mama mdogo apige simu huduma kwa wateja au aendr ofisi za tigo zilizo karibu aeleze kiasi alichotuma na awaeleze vizuri muamala urejeshwe kwake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Bandarini sakata la makontena ya Makonda

    Unapingana na Number 1 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napitia katika changamoto kubwa

    Subira yavuta kheri, kwa hatua uliyofikia na msimamo uliokua nao, amini Mungu kakuandalia kitu bora kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Isack Kamwelwe aagiza DSTV, Azam na Zuku kuwarudishia wateja wao fedha walizolipia ving'amuzi: Asema vilikiuka Sheria.

    Wakati mwingine unawaza haya maamzi yanatoka kwa viongozi ama.. dah
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

    Shangaa ujiulize mwenyewe Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania TCRA mpo wapi kwa hili la AZAM TV kutoonesha habari kwenye runinga

    Naamini kuna kinachoendelea hatukijui juu ya hili, nahisi wamepigwa pini Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuvunja poverty circle sio kitu rahisi

    Huu Uzi mkuu umetugusa wengi tuliotokea familia hizo, tunapambana nayo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa NSSF, Pro. Kahyarara na kumteua William Erio

    Kama ulikua kichwani kwangu mdau, nimewaza sans kwa kweli hii mifuko tunanyonywa kiwazi wazi, wanaofaidika in wengine
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

    Ina maana kweli, hujui alichokifata? Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, Pascal Mayalla alijiandaa. Kasome upya makala,utaadhirika...

    Pariamet kibogoyo Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Bunge: Hali ya afya ya Spika Ndugai inaendelea vizuri, kurejea nchini wakati wowote

    Hivi kiukweli kabisa Ndugai atakumbukwa kwa lipi ktk uspika wake?
Back
Top Bottom