caridas
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 229
- 285
Nimekupata mkuu, nimeelewa.Kinga'muz chako ndio chanzo cha taarifa, ukiwa unaangalia Chanel flan wanaona kingamuz namba flani kipo chanel flan, kwa hivyo hupelekea kujua idadi ya viwers kwa wakati husika, lkn pia kunakuwa na assumpition katika kuongeza idadi kwa kusema kuwa tv kwa Tanzania hutumika na zaidi ya mtu mmoja kwa baadhi ya mida kama vile mida ya taarifa ya habar, mpira, tamthilia n.k kwa wakat huo huassume idadi ya watazamaj labda 2 au zaid kulingana na kipindi alaf wanazidisha na idadi ya vinga'muz vilivyo ewan kwa muda huo wanapata viewers kwa tangazo lao lililorushwa mida hiyo