Arusha kuna rahaaaa. Ndo maana watu wengi wa Acity wanapenda starehe kuliko kazi, hiyo sishangai, hata baada ya tamko la Rais kupiga marufuku ya unywaji wa pombe mchana wanalazimika kujifungia kwenye mabaa kwahy sishangai kuona rushwa ya ngono kwa watu wa arusha
Kama watapewa leseni za kufanya hiyo biashara na kuingiza mapato serikalini manispaa itapaa kimapato na kuzisldisha ile asilimia themanini ya Majaliwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.