kubwa_Lao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 934
- 1,185
Wadau naomba kuuliza!!
Hivi kiongozi wa upinzani bungeni analipwa Tsh ngapi ukijumlisha na posho zooote anazopata......
lakini pia huyu kiongozi ni mwenyekiti wa chama cha chadema, je na huku kwenye chama analipwa Tsh ngapi ikiwa ni pamoja na posho zote.....
nauliza kutaka kujua tu wadau sina maslahi na chama chochote zaidi ya kutaka kufahamu.
Nawasilisha.