JPM usikubali udhaifu huu kwenye vivutio uendelee

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,277
15,522
Wakuu ni aibu kwa kweli Tanzania kuwa na vivutio kila mkoa na vingine ni vya pekee kabisa lakini ajabu hata sisi wazawa hatuviskii kwa sababu hakuna juhudi zozote za kuvitangaza.. Hivi unaweza kuamini hii Crater ipo Tanzania? Nimekaa Mbeya lakini sijawahi kuskia.

tanzania-mbeya-ngozi-crater_lake2.jpg

ngozi-3-320x202.jpg

ngozi_volcano_tanzania.jpg

Lake Ngozi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jump to: navigation, search
Lake Ngozi

Coordinates
17px-WMA_button2b.png
9°00′29″S33°33′11″E / 9.008°S 33.553°E / -9.008; 33.553Coordinates:
17px-WMA_button2b.png
9°00′29″S33°33′11″E / 9.008°S 33.553°E / -9.008; 33.553
Type Crater lake
Catchment area 4,6 km2
Basin countries Tanzania
Max. length 2,5 km
Max. width 1,6 km
Surface area 3,1 km
Max. depth 74 m
Water volume 72.7 × 10−3 km3
Lake Ngozi is the second largest crater lake in Africa.[1] It can be found near Tukuyu, a small town in the highland Rungwe District, Mbeya Region, of southern Tanzania in East Africa. It is part of the Poroto Ridge and part of the caldera rim is the highest point of the Ridge and mostly composed from trachytic and phonolitic lavas. Ngozi is a Holocene caldera that generated the Kitulo pumice 12,000 years ago during a Plinian eruption, most likely in the same eruption that generated the caldera. Other eruption deposits are the Ngozi Tuff (less than thousand years ago) and the Ituwa Surge base surge deposits of uncertain age, but intermediary to the Kitulo pumice and Ngozi Tuff. The youngest activity generated a pyroclastic flow that flowed southwards for 10 km around 1450 CE. Some pyroclastic cones surround the volcano. The walls of the caldera are forested, with the exception of segments scoured by landslides and high cliffs that inhibit access to the water. The inner caldera is forested with Maesa lanceolata, Albizia gummifera and Hagenia abyssinica, far fewer tree species than neighbouring mountains consistent with the recent geological origin of the volcano. The caldera itself is not subjected to hydrothermal activity, but large subaqueous CO2 emissions and local legends of the killing power of the lake indicate a danger of limnic eruptions. The lake floor according to echosounding is flat and has no terraces.[2][3][4]

The lake does not undergo large scale fluctuations in lake level, with only minor differences between the dry and rainy seasons. Air temperatures above the lake are around 18 °C with only minor seasonal variations.[3]

Sporadically, the forests were occupied by Safwa hunters. Reports in 2013 stated that in the following year a geothermal project would commence in the vicinity of the volcano halfway between Ngozi and the town of Mbeya.[1][3]
 
mkuu io ni bongo au uswiz
Mkuu ni Bongo tena Tukuyu huko...mi nilivyoona kwenye post ya Chriss Lukosi fb nikadhani amekosea ni mambo za Amazon huko kumbe bongo hapahapa tu
 
Naenda kuwekeza hoteli mara kwenye ukingo wa ziwa hilo.
 
Hii nchi inavivutio vingi sana ni watu kutokupenda kusafiri au kuuliza na kusoma kwenye majarida ila kila kitu kiko hapa Tz
 
Mwenyezi Mungu ametupa mali lakini hata kuifaidi tunashindwa.

Hiyo sign ya Kalambo falls walahi hata geti langu la shamba zuri kuliko hiyo STOP sign.
Mandhari nzuri hivyo? Yaani hata picha na kuandika Tanzania inatosha kuwa tangazo duniani. Sio kwamba hatuna elimu hapana ila maendeleo ndio shida, ukimpa muelewa hilo bwawa ataingiza kipato kikubwa kuliko kuliko.

Hayo maporomoko utafikiri sio kwetu!
 
Vipo vivutio vingi sana havitangazwi kuna sehemu ipo boma ng'ombe inajulikana kama chemka hot spring wazungu kibao wanaenda ni wanakijiji tu wanakusanya mapato ,kama pangeboreshwa na kutangazwa ipasavyo nadhan wagen Wengi wange fika na serikali kupata mapato
ImageUploadedByJamiiForums1457341429.677480.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1457341504.294607.jpg
 
kwetu rufiji kuna sehemu zinatoa maji ya moto chini lakini hamna anaejali wazungu wanapiga picha bila kiingilio wanapitiaga wakitoka selou
 
Yaani ni aibu mkuu halafu eti hapo Tukuyu tu hivi hii nchi inalaana? Haya hebu angalia ni hii Kalambo falls iliyopo Sumbawanga..na ni ya pili kwa ukubwa Africa.. lakini nani anaijua?

NatGeo_2.jpg

Kalambo-Falls-1.jpg

Kalambo_Falls_066L.jpg

waterfall.jpg

Nipo interested na kujua:
  • Yaliko hayo maporomoko
  • Kina chake
  • Accessbility (nawezaje kufika huko)
  • Naona kuna wageni wanaogelea, je ni salama kiasi gani ...
 
Wakuu ni aibu kwa kweli Tanzania kuwa na vivutio kila mkoa na vingine ni vya pekee kabisa lakini ajabu hata sisi wazawa hatuviskii kwa sababu hakuna juhudi zozote za kuvitangaza.. Hivi unaweza kuamini hii Crater ipo Tanzania? Nimekaa Mbeya lakini sijawahi kuskia.

tanzania-mbeya-ngozi-crater_lake2.jpg

ngozi-3-320x202.jpg

ngozi_volcano_tanzania.jpg

Lake Ngozi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jump to: navigation, search
Lake Ngozi

Coordinates
17px-WMA_button2b.png
9°00′29″S33°33′11″E / 9.008°S 33.553°E / -9.008; 33.553Coordinates:
17px-WMA_button2b.png
9°00′29″S33°33′11″E / 9.008°S 33.553°E / -9.008; 33.553
Type Crater lake
Catchment area 4,6 km2
Basin countries Tanzania
Max. length 2,5 km
Max. width 1,6 km
Surface area 3,1 km
Max. depth 74 m
Water volume 72.7 × 10−3 km3
Lake Ngozi is the second largest crater lake in Africa.[1] It can be found near Tukuyu, a small town in the highland Rungwe District, Mbeya Region, of southern Tanzania in East Africa. It is part of the Poroto Ridge and part of the caldera rim is the highest point of the Ridge and mostly composed from trachytic and phonolitic lavas. Ngozi is a Holocene caldera that generated the Kitulo pumice 12,000 years ago during a Plinian eruption, most likely in the same eruption that generated the caldera. Other eruption deposits are the Ngozi Tuff (less than thousand years ago) and the Ituwa Surge base surge deposits of uncertain age, but intermediary to the Kitulo pumice and Ngozi Tuff. The youngest activity generated a pyroclastic flow that flowed southwards for 10 km around 1450 CE. Some pyroclastic cones surround the volcano. The walls of the caldera are forested, with the exception of segments scoured by landslides and high cliffs that inhibit access to the water. The inner caldera is forested with Maesa lanceolata, Albizia gummifera and Hagenia abyssinica, far fewer tree species than neighbouring mountains consistent with the recent geological origin of the volcano. The caldera itself is not subjected to hydrothermal activity, but large subaqueous CO2 emissions and local legends of the killing power of the lake indicate a danger of limnic eruptions. The lake floor according to echosounding is flat and has no terraces.[2][3][4]

The lake does not undergo large scale fluctuations in lake level, with only minor differences between the dry and rainy seasons. Air temperatures above the lake are around 18 °C with only minor seasonal variations.[3]

Sporadically, the forests were occupied by Safwa hunters. Reports in 2013 stated that in the following year a geothermal project would commence in the vicinity of the volcano halfway between Ngozi and the town of Mbeya.[1][3]
Hii Wizara Inaogopwa Kutumbuliwa....
Hivi inawezekana Vipi vivutio Vingi vipo halafu havitangazwi?
Wao wameng'ang'ania Serengeti. Na Ngorongoro tuuu ahhh Olduvai....
Yaani Sehemu nyingine za Tanzania wamesahau Au Wanaona Pesa waifanyie mambo Yao Mengine ....
Budget ya Utalii inafanya Nini?
Hivi inatakiwa ukienda Kwenye Website ya Wizara ya Maliasili uyakute yote Haya....Kwa KIILA Mkoa
Wizara haijapata Mtu "Creative" & Forward looking & Patriotic.
 
  • Thanks
Reactions: cpt
Sasa huko huko Tukuyu kuna Bwawa jingine niliona picha zake Liko njiani kama unaenda Masoko njia ya Matema Beach ni nzuri balaaa mpaka nikasema hivi vitu vipi naona gari za kampuni moja ya tour huwa inaenda huko wanaojua ni wamiliki wa makampuni ya tour na wakazi qa maeneo hayo lakini naona serikali haina hata mpango wa kuvitangaza wakati pangeweza kujengwa hata hotel za hatari. Mfano kuna hotel ipo Mbeya inaitwa Utengule Coffee Farm ipo kwenye mwinuko wa mlima Mbeya ukiuliza wakazi hata hawajui kitu nilikuja kuijua sababu kuna ndugu yangu ni mfanyakazi wa ubalozi wa Korea Kusin sasa
akawa ameenda huko nikaona picha kwenye simu yake nikamuuliza wapi huko ananiambia
Mbeya hii wakati nimeishi zaidi ya miaka mitano wala sijui kama kuna kitu kama icho achana na vivutio huko Iringa yaani Bodi ya Utalii wamelala sana sijui hizo tour wanazoenda south Africa na Uswiss wanaenda kujifunza nini aisee
 
Eti Kilimanjaro ni Msungu ilivumbua !!
Msungu na Mchaga ni nani ilitangulia ?

Tusubirie labda mzungu aje avumbue
 
Sasa huko huko Tukuyu kuna Bwawa jingine niliona picha zake Liko njiani kama unaenda Masoko njia ya Matema Beach ni nzuri balaaa mpaka nikasema hivi vitu vipi naona gari za kampuni moja ya tour huwa inaenda huko wanaojua ni wamiliki wa makampuni ya tour na wakazi qa maeneo hayo lakini naona serikali haina hata mpango wa kuvitangaza wakati pangeweza kujengwa hata hotel za hatari. Mfano kuna hotel ipo Mbeya inaitwa Utengule Coffee Farm ipo kwenye mwinuko wa mlima Mbeya ukiuliza wakazi hata hawajui kitu nilikuja kuijua sababu kuna ndugu yangu ni mfanyakazi wa ubalozi wa Korea Kusin sasa
akawa ameenda huko nikaona picha kwenye simu yake nikamuuliza wapi huko ananiambia
Mbeya hii wakati nimeishi zaidi ya miaka mitano wala sijui kama kuna kitu kama icho achana na vivutio huko Iringa yaani Bodi ya Utalii wamelala sana sijui hizo tour wanazoenda south Africa na Uswiss wanaenda kujifunza nini aisee
 
Vipo vivutio vingi sana havitangazwi kuna sehemu ipo boma ng'ombe inajulikana kama chemka hot spring wazungu kibao wanaenda ni wanakijiji tu wanakusanya mapato ,kama pangeboreshwa na kutangazwa ipasavyo nadhan wagen Wengi wange fika na serikali kupata mapatoView attachment 327937View attachment 327939

Nilishafika hapo Chemka mkuu yaani nilishangaa sana hapajulikani lakini hao wazungu walivyo wengi na Serkali haipati hata mapato yaani inaumiza sana aisee ni pazuri pamekaa kiasili sana na maji yake mzuri yaani ilitakiwa patangazwe hata wazawa wengine na wageni wanheongezeka yaani ni kampuni za tour ndio zinawapeleka wazungu lakini hazina
resource za kutangaza kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom