Kweli umetia aibu pdiddy uzi wako una mawili, mosi ni kweli jamaa wanakula rushwa mbaya barabarani hlo halina ubishi, pili ni jinsi ulivyoainisha mali za mshkaji kuwa anamiliki Coaster na sijui Alteza sasa ulitaka amiliki nini? Kwani ni dhambi kumiliki vyombo vya usafiri? Hpo mkuu hzo ni chuki...
Habari zenu wakuu! Huu uzi ni mzuri kwa wale wakulima wa kitunguu ningependekeza na kutilia mkazo kweli lingeundwa group humu la whatsapp kwa wale wadau ili tuwe na umoja wetu tukutane tupange na kueleweshana mikakati juu ya kilimo cha kitunguu naona itakuwa jambo jema kwa wale wageni kama mimi...
Ww kama hujui lugha za watu usizitumie kwani ukiandika kiswahili lugha yako vidole vinavimba au? Eti refer Whitney Houston and his daughter" shame on you next time post on your own language
Kweli umenena hzo ajira za experts ziwekwe wazi kwa wizara husiku tuangalie ni vigezo gani vinatumika kuwabagua wasomi wetu, haiwezekani serikali iingie gharama kubwa ya kusomesha watu wake na watu kukaa darasani miaka yote hyo leo waje kuonekana hawana utaalamu eti mpaka watoke nje this is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.