Recent content by Mmarekani

  1. Mmarekani

    JamiiForums Tanzania Kutumia umeme units 75 kwa mwezi(tariff 4) ni kujidanganya ama kudanganya

    Naomba tu niitumie fursa hii kutoa somo ili kidogo tupate jua haya mahesabu ya unit yanapigwaje. Kanuni inasema hivi Unit (kWh) = kW*time. Kila chombo chako cha umeme nyumbani kimeandikwa neno hili "W" Mfano: Feni lako lina 130W na umeliwasha kwa muda wa masaa 13. Jee feni lako kwa muda wa...
  2. Mmarekani

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Kwn we ulikua uolewe tarehe ngapi hata ikapelekea kukata tamaa?, Kwa vile huijui Siku yako ya kuolewa ni lini naomba vuta subra mungu yu pamoja na wavutao subira.
  3. Mmarekani

    JamiiForums Tanzania SWALI: Mkoa gani Tanzania ni mzuri kwa kuishi?

    Njoo mjini magharibi unguja
  4. Mmarekani

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Na mm tarehe hiyo hiyo mwezi huo huo (03/mar)
  5. Mmarekani

    JamiiForums Tanzania Masista (nun) wa Catholic wanavyofanya Kilimo Na Biashara ya Bangi

    Suali bado hamjalijibu, m2
  6. Mmarekani

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo ndege mpya za Jet ambazo zinategemewa kuagizwa hivi karibuni

    Namkubali Sana baba mwenye nyumba.
  7. Mmarekani

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Yusuph Mlela amekuwa teja?

    Watu wa tape hiyo huaga hawaelewi mpaka wanakufa Na unga wao.
  8. Mmarekani

    JamiiForums Tanzania Tetemeko dogo la ardhi limetoea mikoa kadhaa Tanzania

    Ss huku visiwani hatukuliona (Z'bar).
  9. Mmarekani

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenzangu hebu tuacheni tabia hizi!

    Zingatia nini kimekupeleka Kule kanisani, na jaribu kuisoma Kwa Kina dini yako ndo suluhisho lako
Back
Top Bottom