Bado ni kama tunazunguka mbuyu kwa speed sawa means hatuwezi kukutana...
Hakuna kificho kwenye suala la sheria
"Akina Katuga wamepata hizo taarifa kisheria?"
Hili swali ndilo lilitakiwa lifanyiwe kazi na majibu yapatikane kabla ya kufikia conclusion ya kutoa hukumu kwamba akina Katuga...
Lisu ameuliza kuhusu uenguaji wa wagombea wa chadema kwenye chaguzi kadhaa zilizopita huko nyuma...vipi maswali hayo yana uhusiano gani na kesi yake ya uhaini?
Hapo umezungumzia scenario ya kuwa na mashaka juu ya miamala ya mteja fulani ndipo huo mtiririko unafanyika..
Swali ni hili au ombi ni hili
Unajua ni Sheria gani inampa mamlaka mtu kupata taarifa za akaunti ya mtu mwingine? Au tuletee taratibu zinazokataza mtu kuwa na taarifa za mtu mwingine...
Unampangia muulizaji maswali aulize maswali yanayokufurahisha wewe?
Kwenye cross-examination unauliza namna yeyote unavyotaka ilimradi umwondoe shahidi kwenye mstari ili kupima ukweli wa kile alichokisema kama kina ukweli ama laa..
Kwanza kabla hujafika conclusion yako kuhusu namna ya hao mawakili walivyopata hizo taarifa za account unajua Kuna taratibu zipi za kisheria zinazowaruhusu hao kufanya hivyo?
Au tuletee kipande cha Sheria kinachokataza au kutoa utaratibu wa mtu mwingine kupata taarifa zako za akaunti
Ni afadhari upingwe kwa hoja hapo tunaita hoja kwa hoja ila wapo wanaoenda mbali zaidi ya hizo hoja na kufikia kutoa matusi na kejeli kama unavyosema...
Hii umepiga angle zote za uwanja na kukabia kwa juu yaani kwa kifupi umetoka somo kubwa sana japo wapo watakaokupinga kwa huu ukweli ambao ni ukweli mtupu
Umeandika kitu kikubwa sana lakini bado tunarudi kule kule..je Kuna jitihada zimefanyika za kumtafuta anakoishi na akakosekana?
Nimejaribu kuongea hilo ili tuwe na uhakika wa tunayoyaongea na sio kubuni kwa hisia zetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.