Recent content by mmang'ula

  1. M

    JamiiForums Tanzania kwa nini hujaoa mpaka sasa?

    Una hakika Majah, kwa taarifa yako hata ukiwa kwenye ndoa unaweza lishwa najisi vilevile. Cha msingi kama uhakika wa maziwa upo ufuge ya nini? Sifa au unatafuta presha?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha: mbowe afunika ifakara

    Kilombero hatuna mbunge, mteketa ni mteuliwa wa tume ya uchaguzi, wananchi wa kilombero mbunge wetu amefariki(bi regia mtema) tunasubiri tume iitishe uchaguzi tuchague mbunge mwingine. M4C daima mpaka kieleweke.
  3. M

    JamiiForums Tanzania natafuta Min Laptop kwa tsh 300000 tu.

    Hilo dau ninalo nipe mawasiliano mkuu hata uki ni pm it's ok.
  4. M

    JamiiForums Tanzania natafuta Min Laptop kwa tsh 300000 tu.

    Nipe mawasiliano mkuu mi hilo dau ninalo, hata uki ni pm it's ok.
  5. M

    JamiiForums Tanzania mwanaume wa kumalizia nae weekend

    Jenu mama hujachelewa bado njoo hapa Nothern Rocks breeze upate unacho stahili, ni pm tupange mipango vizuri.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shein na Maalim Seif mambo si shwari!

    CCM na CUF Zanzibar ndoa yenu sasa iko majaribuni, ushauri wangu tafuteni mshenga wenu na wazee muweke mambo sawa. Vinginevyo mtapeana talaka tu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu anataka kuoa mwanaume mwenzie

    Ndugu wajojo huna mme hapo, ilo bwabwa tu, chunguza kwa makini utabaini tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

    Umenena vema Dada Anita mungu akujalie roho ya imani na upendo hivyohivyo siku zote za maisha yako. Wanadamu wa siku hizi tunajali sana vitu kuliko utu, Natalia mshauri vizuri rafiki yako pasipo huyo mama huyo mme alienae angemwona wapi? Huyo rafiki yako anapenda tunda la nazi tu lkn mnazi wenye...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ex-girl friend wa rafiki yangu anataka tuoane

    Mkuu k..m.a haina shombo, huyo uliye nae wangapi wamegegeda? Mkuu Mlati nakushauri heshimu hisia za moyo wako.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari kweli upo CHADEMA?

    Big up kaka makene kwa ufafanuzi mzuri nafikiri sasa ndugu yetu Rockcity native atakua ameelewa kwanini gwiji la sheria na lugha adhimu Pro Safari haonekani mara kwa mara kwenye siasa za majukwaani.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    Duuuuu!!! Huyu mjeda ndo kalala mbele au atarudi? Kama vp tomorrow ngoja nipige mbonji kila siku kulala midnight kama mlinzi.ila jamaa anatutesa sana usikute anamgegeda wit wake si tunabung'aa ka mipopo twa msubiri.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bonge nyanya

    Kuna style ya samba lioka hiyo vinagusana vyenyewe tu nyama hazionekani kabisa hizo.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makalio bar arusha

    Mkuu sijakusoma hiyo heading then ugunduzi bejieng what do u mean?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2013 - ni mwaka wa kuwa na mwenza

    Acha mbwembwe we funguka tu kama unatafuta mchumba basi, stori nyingi za nini chalii angu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania TAFITI: Watu wafupi wana wivu, gubu na ni wagomvi tofauti na watu warefu, lakini...

    Nakubaliana na makene maswala ya mahusiano hayana formula inategemeana na mazingira ya wahusika ktk uhusiano.mfano mdogo wangu yeye na mkewe wote ni matall lkn daily kesi haziishi tatizo mwanamke anamepenzi yaliyopitiliza na Wivu ndani yake lkn hapati mrejesho anaotarajia kutoka kwa mume.mambo...
Back
Top Bottom