bado sijapata sababu ya kuoa, if i can get free milk, why should i buy a cow?
Mmmh Haya tena!!!.
bado sijapata sababu ya kuoa, if i can get free milk, why should i buy a cow?
ikizingatiwa kuwa wanaume ndio initiators wa ndoa /wenye maamuzi ya kuamua.toa sababu yako hapa why mpaka leo bado hujaamua kuoa while everything including ur age vinaruhusu.......
Nothing but the Truth
Kuoa ni jambo linaloshirikisha mtu zaidi ya mmoja,hivyo kumlaumu mtu mmoja kwa kutokuoa au kuolewa sio sahihi
'
Mtu anaweza kuwa tayari kuingia kwenye ndoa lakini yule anaetaka kuoana nae akawa hataki
'
Pia kuna suala la kumpata alie sahihi,huwezi kukurupuka kuingia kwenye ndoa kwa sababu ya umri
'
Kuna wengine hawahitaji ndoa kwa sababu tofauti tofauti,hivyo akawa haitaki ndoa
'
Kwa kifupi,ndoa kwa mtu anaeijua thamani yake hawezi kulazimishwa kuingia kwa kufuata umri au watu fulani!
in the process! becoz:
1.muda umefika
2.nimempata nilieridhika nae, sihitaji mambo mengi: anifulie nguo, anipikie na anipe pale kati basi!!
and not becoz nimejipanga! kila nikijipanaga nashindwa!!!!
then give me goodluck!
Ur not serious.hayo maziwa nw dyz yana madhara