Mabosi wanazani kupewa ngono na wanafunzi kutoka vyuo wamepata, kumbe watoto wenyewe hiyo kitu sio issue ameanza kugawa kwa mwalimu wake wa primary, sekondari, chuo bila kusahau tuition, na leo eti mabosi wanashobokea kwake sio issue atawapanga tu hadi awe viti maalumu. Viongozi wajiheshimu...