Recent content by mm1

  1. mm1

    JamiiForums Tanzania Website designing na kutengeneza systems mitandaoni kama vile forums na social networks

    nilidhani unafahamu python mkuu,nikpe kaz ya kfanya
  2. mm1

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza aivaa Serikali, asema tulipokubali kuingia mfumo wa vyama vingi tulikubali kupingana kwa hoja

    VITA VYETU SI VYA DAMU NA NYAMA,BALI NI KATIKÀ ROHO.Kiongozi wa dini ni hatari sana kuanza katika ulimwengu wa kimwili wakati Matokeo ya ulimwengu wa mwili yanaanza rohoni kwanza,hii inamaanisha Kuna sehemu watu waimani wametega kuziombea.
  3. mm1

    JamiiForums Tanzania Ally Saleh Mbunge wa Malindi Zanzibar amlima barua ya Wazi Rais wa FIFA, Gianni Infantino

    barua gani ndefu hivi,hii ni taarifa kama taarifa za ndungu zetu waleeee
  4. mm1

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba Serikali itoe ufafanuzi kuhusu masuala ya Vyeti

    logic less,hii ni field ya sheria mkuu no matter ulitenda hata miujiza kama ya musa,umepatikana na kosa lazima uwajibike
  5. mm1

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi SUA wanakabwa na vibaka barabarani, sababu hakuna taa

    eti nilikuwa napita,hivi ukisema unasoma hapo Kuna ubaya gani
  6. mm1

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Kikwete ni kuhudhuria kila msiba?

    watz kuwaongoza inahitaji moyo wa plastic
  7. mm1

    JamiiForums Tanzania Jamaa ana moyo mugumu zaidi ya farao

    watoto wa sikuhizi ni wa digital,unakuta wameprint kabisa list ya majina ya walimu waliopatikana na kashifa
  8. mm1

    JamiiForums Tanzania Sakata la Vyeti: Waziri Palamagamba Kabudi atajwa kuwasilisha vyeti pungufu

    mh!! hii hatari sasa
  9. mm1

    JamiiForums Tanzania Habari mwenye list ya INCOMPLETE watumishi wa

    mbona TRA wengi hivo
  10. mm1

    JamiiForums Tanzania Jamaa ana moyo mugumu zaidi ya farao

    hapana atakuwa anajua kwa mazingira ya pale Kuna majungu sana
  11. mm1

    JamiiForums Tanzania Jamaa ana moyo mugumu zaidi ya farao

    Katika list ya watumishi wasio na vyeti I mean walioandikiwa incomplete yumo jamaa yangu,ni mwalimu wa shule ya msingi ila ndo hivo alipita njia za shortcut kusoma ualimu hadi akapata kazi.Namfahamu vizuri wala sio kwamba labda wamekosea kumbaini maana o level alipata bashitenic grade,zero...
  12. mm1

    JamiiForums Tanzania PCB Materials Needed

    umejuaje kama ni mwanaume huyo.wee kanunue vitabu dukani vipo Vingi sana
  13. mm1

    JamiiForums Tanzania JF ichangiwe kwa ulazima sasa...Tunachokipata humu ni kikubwa sana!

    tukichangia tu TRA haooo fasta kuchkua chao
  14. mm1

    JamiiForums Tanzania Serikali toeni majina ya vyeti vyenye utata ambavyo ni 1538 kuepusha usumbufu

    kama ni hivo kweli tuna waandishi wa habari vilaza
  15. mm1

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanaotumia cheti kimoja

    ili uyafanyaje
Back
Top Bottom