PCB Materials Needed

Srebrina

JF-Expert Member
Jan 28, 2012
956
422
Habarini ndugu na jamaa mimi ni candidate ninae subiri post za skuli
ninaitaji materials ya masomo hayo Physics, Chemistry, Biology na BAM
kama unavo nifate PM tuongee biashara pia kama kuna njia naweza pata vitubu vya
S Chand pia itakuwa poa maana nimetafuta online hadi kichwa kimechoka.

au nicontact wasap namba 0755563180
 
Unaishi wapi?
 
Kwasasa nipo makambako tarehe 13 nitakuwa mbeya alafu tarehe 16 nitakuwa shinyanga. Kwani wewe bro uko wapi?
 
Sina uhakika kama ni mwanaume ila shida huku kote ninakopita mi ni mgen na sikai kusema ningezunguka madukan mi nakaa shy na mwanza
 
Back
Top Bottom