Recent content by Mlumendo obeid

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wale mlosoma economics nisaidieni

    asante kaka but najua MA inajengwa na BA so ndo maana naomba mwanga
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wale mlosoma economics nisaidieni

    Habari wanajamii. Nasoma BA ya ECONOMICS nipo mwaka wa 3. Natakiwa fanya selection kat ya hizi 1.INDUSTRIAL ECONOMICS 2.AGRICULTURE 3.LABOUR 4.NATURAL RESOURCES Hapo natakiwa chagua mbili. Zipi zaweza kuwa na uwanja mpana wa ajira?
  3. M

    JamiiForums Tanzania WALE MLOSOMA BA,MA na PHD YA ECONOMICS NISAIDIENI

    Habari wanajamii.. Nipo mbele yenu naomba ushauri ili niweze kufanya selection iliyo sahihi. Nasoma BA ya ECONOMICS nipo mwaka wa 3, natakiwa fanya selection kati ya hizi 1.AGRICULTURE ECONOMICS 2.INDUSTRIAL ECONOMICS 3.LABOUR ECONOMICS 4.NATURAL RESOURCES ECONOMICS. Ipi yaweza kuwa sahihi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hawa HLSSF ni akina nani?

    Jaman naomba maelezo kwa wanaolifaham HLSSF anijuze. Nawasilisha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco mnaboa

    Habari zenu wana JF! Mi ni buheri wa afya! Nmesimama katika jukwaa hili kuweza kuleta mada ambayo ningependa ijadiliwe kiundani! MADA:Hivi unapoenda TANESCO na kutaka uwekewe huduma ya umeme nyumbani kwako na kuambiwa ununue nguzo hili swala linamaana gan? Na kama mwananchi anatakiwa anunue...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi fakat ya BACHELOR OF ARTS IN ECONOMICS ni MARKETABLE?

    Asante kaka kwa jbu lako pia nipo tayar kukuinbox! Kama hautojali naomba Email yako!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya neno LAPTOP

    Mbali ndo nini?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

    Methali methali? Mchekecho ujao.......?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya neno LAPTOP

    Hivi Laptop kwa kiswahili fasaha ni nini?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria juu ya mirathi

    Ndugu zangu ni matumaini yangu kwamba mmeamka salama,nimesimama katika jukwaa hii kuweza kupata msaada juu ya mirathi ya BABA YANGU, BABA YANGU ALIKUWA POLISI PALE DAR-ES-SALAAM NA MWAKA 2005 ALIHAMISHIWA SUMBAWANGA NA 05/12/2005 NDIPO ALIFARIKI DUNIA,MAMA YANGU ALIENDA KUNGUA HIYO MIRATHI NA...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili naomba nisaidiwe

    mbona jibu lako halieleweki? Usilete utani wakati mi niko sirias! jaribu kubadilika!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili naomba nisaidiwe

    Kwenye sehemu gani ya simu?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili naomba nisaidiwe

    So ukifuta kwenye simu inaenda wap?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili naomba nisaidiwe

    Naomba maelezo ya kina kuusu hilo swali jamani!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili naomba nisaidiwe

    Jamani wana JF poleni kwa kazi ya kutafuta DINARI, Nipo janvini kuomba kusaidiwa swala hili hivi ukifuta text kwenye simu inaenda wapi? Naomba maelezo ya kina! Asanteni!
Back
Top Bottom