Tanesco mnaboa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco mnaboa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mlumendo obeid, Aug 14, 2012.

 1. M

  Mlumendo obeid Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF! Mi ni buheri wa afya! Nmesimama katika jukwaa hili kuweza kuleta mada ambayo ningependa ijadiliwe kiundani! MADA:Hivi unapoenda TANESCO na kutaka uwekewe huduma ya umeme nyumbani kwako na kuambiwa ununue nguzo hili swala linamaana gan? Na kama mwananchi anatakiwa anunue nguzo je TANESCO kazi yao ni nini? Nawasilisha.
   
Loading...