Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,493
- 2,247
Itakuwa siyo makertable kutokana na ukilaza wako. Ukiwa na GPA nzuri na confidence kwenye interview huwezi kukosa kazi kwenye institution yoyote regardless umesoma nini.
Nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kufanya bank, na tulikuwa tunaajiri watu mpaka wenye degree za kilimo!
Usimkatishe dogo tamaa, cha muhimu asome kwanza, hayo ya ajira yatakuja baadaye.
Pumba!, yaani nimwajiri economist wakati nahitaji engineer kwa vile interview amefanya vizuri?
Kunatakiwa kuwe na demand kwanza ndo watu waanze kuajiri, pia hiyo benki yenu ilikuwa bomu au kulikuwa hakuna watu ambao wako qualified kwa kazi inayotakiwa, sasa hivi wahitimu kibao wamejaa mtaani.
Huu ndo wakati sahihi wa kuuliza, mambo ya kupata Degree kisha kushitukia haina market sio akili.