Recent content by mlowola

  1. mlowola

    Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

    Naunga mkono hoja, maisha ni pesa, na hata wote waliokua waneomba nafasi mbali mbali, msingi wao mkubwa ni kupata pesa kisha mengine yanafuata, yes wapeleke majina ili wawape ajira, kwa kufanya hili watakua wamewasaidia watu wengi ambao ni tegemezi kwao. WAPELEKE WAKAPIGE PESA, ACHANA NA POROJO...
  2. mlowola

    Wimbi la Wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania kutishiwa kuuawa linalenga jambo gani na kwa manufaa ya nani na ili iweje?

    Mkuu acha kutumia akili za kushikiwa, hizo ni mbinu zao chafu za kutaka kuipaka serikali matope, nani awauwe na kwa sababu ipi ya msingi, na kwa nini kipindi chote cha kampeni wasiuliwe kama kweli dhamira ni hiyo?
  3. mlowola

    Kenya: Godbless Lema aachiwa kutoka kituo cha Polisi Kajiado. Apatiwa hifadhi nchini Kenya

    Baada ya kukosa kazi ya ubunge wanaona bora wakatafute huruma ya wakenya kwa kisingizio cha kuomba hifadhi....stupid ideas...mbona wamezunguka nchi nzima na hakuna aliyewagusa?
  4. mlowola

    Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

    Dunia inauona ukweli, hali ya usalama wa nchi si jambo la kuficha, hii ni kukosa uzalendo, hakuna yeyote katika nchi zilizoendelea anaweza kufanya haya...Taifa kwanza..
  5. mlowola

    Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

    Jamaa naona wanajitahidi kila mbinu kuifanya Tanzania ionekane kua si nchi salama...
  6. mlowola

    Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

    Nipo Chanika, nataraji kuchimba kisima mwezi wa 11, nini gharama zenu Kwa mita?
  7. mlowola

    Ni kwamba watanzania ni wazembe kutembelea nchi za nje au ni Serikali inawabana kutoka?

    Re-newable contract.... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mlowola

    Ni kwamba watanzania ni wazembe kutembelea nchi za nje au ni Serikali inawabana kutoka?

    Kwa sasa niko Saudi Arabian, ..... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mlowola

    Ni kwamba watanzania ni wazembe kutembelea nchi za nje au ni Serikali inawabana kutoka?

    Ni kweli mkuu, hata mimi pia hayo maswali mda mrefu nimekua nikijiuliza sana, tuko wachache sana nje ukilingabisha na mataifa mengine, hasa jirani zetu , wakenya na waganda. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mlowola

    Gari yangu imepungua Performance

    Naona watu wengi wanazungumzia Oil oil oil.....,sijajua effect ya oil katika ku-improve engine performance, maana ninachojua kazi kubwa ya oil ni kufanya lubrication na engine cooling. Performance ya engine inaletwa na ratio nzuri ya mafuta na hewa kwenye combustion chamber. Change air filters...
  11. mlowola

    Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

    I like you stories, very impressive, can't get tired, yaaani kila page ikiisha natamani kuendelea zaidi, hongera sana mkuu, THE BOLD.
  12. mlowola

    Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

    Story nzuri sana mkuu, hongera sana kwa kutumia mda wako mwingi kutuelimisha, sema dooooo hadi macho yanapoteza nuru
  13. mlowola

    Ingepitishwa sheria ya kufunga makofuli kwenye nyeti, kuzuia michepuko na kuzaa nje a ndoa

    Daaa, ningechongesha nyingine kwa sonara, maana hii sasa ingekua adhabu kwa wasio na waume.
  14. mlowola

    Kweli Kingereza kilikuja na Meli...Huyu mrembo anavunja dictionary

    Ni mambo ya smart tu mkuu, alisahau kuweka " be " in between ' to and again. (to be happy again )
Back
Top Bottom