Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 25,430
- 72,656
Habari wana jukwaa.
Gari yangu RunX 2002 yenye engine 1NZ-FE VVTi nahisi kama imepungua performance kidogo ingawa sio easy ku-notice. Mimi na-notice kwakua nimekua nikilitumia kwa muda si naona tofauti.
Kwenye muinuko/mlima naona kama ina lag siku hizi so natakiwa ni press sana accelerator. Also nikiwa nimesimama, nikianza kuondoka ile acceleration inachukua muda sana kukolea, hadi ni press sana gas pedal.
Sijawahi change ATF, na service ninayofanya frequently ni kuchange oil na naitumia ya Total (sijui kama kuna Total za aina nyingi, coz mara zote anafanya fundi).
Pia, sijajua which is the best Oil and ATF kwa engine iyo ya 1NZ-FE VVTi.
Asanteni.