Recent content by Mlingwa

  1. Mlingwa

    Vacancies: Assistant Lecturer and Tutorial Assistant in Environmental and/or Occupational Health

    1. Assistant Lecturer in Environmental Health and/or Occupational Health i. Qualifications Holder of a Master Degree in Environmental Health, Master Degree in Occupational Health, Undergraduate Degree in Environmental Health with Masters in Public Health, Undergraduate Degree in Occupational...
  2. Mlingwa

    Niliwaeleza baadhi ya wabunge CHADEMA hawarudi Bungeni mkabeza!

    sasa hapa sijakuelewa hoja yako hapa mkuu, tathimini ya jombo moja tu, tena kwa muda mfupi tayari mbio .....fulani hapiti, hahaha mlitegemea Slaa awepe nguvu...kwisha janja yenu...nunueni mwingine tena.
  3. Mlingwa

    Prof. Mark James Mwandosya kuhamia upinzani?

    Kawakama umepoteza dira mdogo wangu
  4. Mlingwa

    Mahojiano ya Zitto na Tido Mhando katika kipindi cha Funguka - Azam TV

    Kununuliwa kwa Dr. Slaa ndo kumewamaliza Zitto na watu wake pia, walijua Chadema itakufa lakini imevuka salama...mwaka huu mtamaliza vituo vya habari vyote, mkigeuka tu...Lowasa huyo.
  5. Mlingwa

    Video: Bibi aelezea mawazo yake kuhusu CCM

    Kujitambua kama huyu bibi ni muhimu, hii inaitwa elimu dunia. kuna watu wana degree zao lakini uelewa zero.
  6. Mlingwa

    Chiku Abwao ajiunga rasmi na ACT - Wazalendo

    Huyu Chiku ndo nani vile?
  7. Mlingwa

    CHADEMA Hakuna Mhandisi wala Mwanasayansi!

    Sio Kweli, Chadema ina magwiji wa sayansi na madaktari bingwa wengi tu. Take your time utawaona na kuwaelewa. Ni mpango mkakati tu.
  8. Mlingwa

    Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

    Tumuombee kwa mola apone kabisa
  9. Mlingwa

    Equity Bank wanahujumu uchumi wetu

    Mtoa maada umesema mwenyewe kuwa hata huko Bureau De Change ni mpaka uombe risit ndo unapewa vinginevyo hupewi....sasa hapa ni kuwaonea Equity Bank bila sababu yeyote. BOT ndo tatizo usig=dhani kwamba hawajui...wanjua kwa undani kuliko wewe ufikiriavyo na hii sio jambo jipya. Kila mradi ama bank...
  10. Mlingwa

    CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

    Iwapo CDM itaamua kuzungumza na kumrejesha ama kuungana na ZZK binafsi na natumai wafuasi wengi wa chadema watakihama chama. Ikumbukwe usaliti wa ZZK umezungumzwa muda mrefu na viongozi walikuwa wakiufumbia macho. Hili halitakubalika. Anayemtaka ZZK amfuate huko huko ama aanzishe chama chake.
  11. Mlingwa

    Limbu: Jaji Mutungi 'amenunuliwa' na Zitto

    wasaliti mwisho wao mfupi
  12. Mlingwa

    Vikundi hivi vimesajiliwa wapi na kwa sheria ipi?

    Uvivu wa kufikiri na kufanya kazi. Sasa ujumbe wa T-SHIRT aliyovaa mtu unakukera nini. Nawe tengeneza ya kwako. Mbona kuna watu wanavaa T-Shirt za changua Kikwete, Chagua CCM mbona hujawahi kusema hawa wamekosea. Kwani sasa hivi ni wakati wa uchanguzi? Hawajui kuwa CCM na rais Kikwete ndo...
  13. Mlingwa

    Hatimaye wakili Peter Kibatala kumtetea Gwajima

    Hii imekaa vizuri...,maana mtu anaamua kuingiza kinyongo chake cha siku nyingi katika tuhuma tofauti. Ni muhimu kuwa na watu kama kina Gwajima na Mtikila ili kuweka sawa mambo taifa ama kiongozi anapokwenda mrama.
Back
Top Bottom