Video: Bibi aelezea mawazo yake kuhusu CCM

Video: Bibi aelezea mawazo yake kuhusu CCM

"Kisiwa cha uvumilivu" na sio kisiwa cha Amani.nimemnukuu huyo bibi
 
]"Kisiwa cha uvumilivu[/COLOR]" na sio kisiwa cha Amani.nimemnukuu huyo bibi

Ndio maana nasema anatakiwa apewe degree ya Heshima, anasema ccm wanasema Lowasa Mwizi, kwani katoka wapi, kama siyo huko ccm?
 
tungepata watz wenye akili kama bibi huyu ilikuwa wazi tungepiga kura za ndiyo tu kwa mgombea wetu maana hata wale wa upande wa matusi wangempigia tu
 
Angalau huyu Bibi hata kama ataamua kupiga kura upande wowote atakuwa kaongozwa na tafakuri na hoja wakati kuna vijana wasomi wazuri wanajiandaa kupiga kura ila hawana hoja hata dhaifu kwa nn wanachagua hicho wanachochagua
 
Maccm yajue kuwa watu weshakata tamaa, kwao hakuna tena cha kuwatisha. Kama mbwayi na mbwayi. Bibi ka huyu ameamua kufa na Lowasa, je kuna wangapi wameamua?? Kama ccm ni imara, uitishwe uchaguzi leo tuone. Nasema ccm bai baiiiiiiii
 
Kujitambua kama huyu bibi ni muhimu, hii inaitwa elimu dunia. kuna watu wana degree zao lakini uelewa zero.
 
Mimi nilijisemea jana kuwa hawa ndio watu eanaotakiwa kutunukiwa.
Pia ni vema huyu bibi akatafutwa siku ya kufunga campaign jangwani akapa wasaa wa kutoa elimu hii mujarabu.
 
Akina Lizabon wamezalia 1990 lakini wanajifanya wafia chama
 
Last edited by a moderator:
bibi anamwita Luwasa tehe tehe....kisiwa cha uvumilivu hakuna amani khaa bibi katisha kwa maneno
 
Mtazameni bibi huyu aliyoyanena kwa taifa akiwahusia wana wa Tanzania


[video=vimeo;139148688]https://vimeo.com/139148688[/video]
 
Daaaaahh... bibi anajitambua sana huyu...!!

Mungu ambariki... Bibi hongera sana..!

Lowassa ni Rais tayari...!!!
 
"Hatuna amani tuna uvumilivu...

pata kesi au uugue ndio utajua uzuri wa ccm

Huyo lowassa kwani mzungu anakuja kugombea......

watakao leta vurugu ni hao wenye silaha.

Unaogopa kufa kwani utaishi milele..........

sisi ndio tunaijua ccm tangu TAA TANU sasa CCM.........." maneno ya bibi Mungu akupe maisha marefu natamani nije kwako unipe historia ya hii nchi.
 
Duh.....huyo bibi ni nouma....ameongea ukweli dhahiri, Tanzania uvumilivu mwingi zaidi.
 
Back
Top Bottom