Aah! Kumbe. Alafu mbona hata bungeni hakuwa na mchango wowote, mi nilikuwa nadhani ni wa ccm.
Lowassa ameingiaje hapo?nikweli lowasa kajipima kaona ccm sio saizi yake kaenda cdm.ccm wamefukuza papa fisadi
alikiwa mbunge viti maalum kupitia CDM jimbo la iringa mjini
Wakuu habari yenu,
Mbunge viti maalum Iringa Mjini mh. Chiku Abwao amejiunga rasmi ACT-Wazalendo.
Chanzo: ITV Habari
View attachment 271585
Katibu wa Mipango na mikakati wa ACT-Wazalendo,Habib Mchange akimkabidhi kadi ya mwanachama,aliyekuwa mbunge wa viti maalum Iringa Mjini mh. Chiku Abwao baada ya kujiunga rasmi na ACT-Wazalendo
View attachment 271586
View attachment 271587
Mh. Chiku Abwao akiongea na waandishi wa habari,makao makuu ACT-Wazalendo
View attachment 271588
Sehemu ya waandishi wa Habari.
Chiku Abwao,wewe nenda salama,lakini kilichosababisha ni mkubwa wa wangombe wapya,umeona huwezi kupita kwenye kura za maoni,
Mkuu yani huyo ni boya tu hana mchango wowote.
anasema eti asingekuwa yeye mchungaji peter msigwa asingeshinda ubunge 2010!!na kama angekuwa ana tamaa yeye ndio angekuwa mbunge wa iringa mjini, amechoka na siasa za visasi za tindu lisu!!! acha mizigo ipungue, na wabunge wengi wa viti maalum wa cdm walikuwa ni mizigo tu kama tindu lisu alivyowahi kusema.
Fuatilia siasa acha ushabiki kiukweli hata mimi Kada wa CCM nakushangaa kwa kauli yako nyepesi sana tena ya kitoto sana! Na istoshe inaonesha haujua historia ya Chadema.. Amechangia sana kukiinua kile chama na kumbuka CHIKU ABWAO alikiw na nyadhfa gani chadema Toka ajiunge nacho ndio ungejua hata uzito wake ni sio kuropoka vitu usivyovijua..! Usioneshe uchanga wa elimu kisiasa kaka..! Huyo ndio aliyekuwa miongoni mwa viongozi wajuu kabisa kwa kina mama CHADEMA..! NA nyadhfa zingine nyingi katika chama.. Amekisaidia sana kwa kweli Ingawa ni vigumu asiyemfuatiliaji kutambua..Coz Wapo viongozi waneno na wa uchapakazi lazima ujue Hilo..!
Aoneshe Mara mgapi na amesha sema anagombea teyari hiyo peke Yake ni ushindi toshaa kutoka na kupambana moja kwa moja..! Ashinde asi shinde bado kapambana na kaonesha dhamira na msimamo wake na kwa Hilo ataheshimika kisiasa koz ameshihirisha dhamira yake..Ndivyo mwanasiasa anavyotakiwa awe...! Haihitaji political science kujua hata hili..! Jambo linalokufanya wewe uwe boys na boys zaidi..! Kwa uchanga kimtazamo na mimawazo pia..! Yaonesha wewe ni benders fuata upepo no research huna facts na wala haujui siasa za bongo.. Kazana Sanaa.. Huwo ni mwanzo mzuri sana kwako.Hamna kitu boya ni boya tu, aonyeshe umwamba wake akagombee jimbo tujue kweli yeye ni jembe na kuna dalili hata viti maalum hawezi kupata... Hope dawa itafanya kazi.
Aoneshe Mara mgapi na amesha sema anagombea teyari hiyo peke Yake ni ushindi toshaa kutoka na kupambana moja kwa moja..! Ashinde asi shinde bado kapambana na kaonesha dhamira na msimamo wake na kwa Hilo ataheshimika kisiasa koz ameshihirisha dhamira yake..Ndivyo mwanasiasa anavyotakiwa awe...! Haihitaji political science kujua hata hili..! Jambo linalokufanya wewe uwe boys na boys zaidi..! Kwa uchanga kimtazamo na mimawazo pia..! Yaonesha wewe ni benders fuata upepo no research huna facts na wala haujui siasa za bongo.. Kazana Sanaa.. Huwo ni mwanzo mzuri sana kwako.