Udukuzi wa mifumo ya kompyuta na simu uliyotokea Jana.
Jana usiku kumetokea udukuzi wa kimtandao takribani nchi zaidi ya 150 duniani kwa siku ya juzi tu. Nchi kubwa zenye wataalamu wa kutosha kama #GermanAsiachinarusiauingereza zimeathirika sana na Afrika. Ujangingili huu wa kimtandao...
Jaman Naombeni kufahamu ISP gani Hapa Tanzania yupo vizuri kwenye huduma ya Internet services na Emails? Me binafsi Niliwatumia SimbaNet Siwaelewi vizuri Nataka kuwapiga chini na kutafuta wengine so nimekuja kwa wadau kuomba msaada!
JIMBO LA MUHEZA.
Kwanza ya yote napenda sana Kutoa poleza dhati kwa Wana_UKAWA wote na wapenda mabadiriko kuondokewa na mwenyekiti mwenza bwana #EMANUEL MAKAIDI M/mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.Napenda pia kutoa Pongezi kwa Makamanda wote wanaoelimisha wananchi juu ya...
Habari zenu ndugu zangu, nauliza mwenye taarifa yoyote kuhusu interview ya TTCL Iliofanyika TAASIS YA ELIMU YA WATU WAZIMA,Vip wameshatoa matokeo au kuna mtu yoyote amepigiwa simu? Naomba nifahamishwe jaman.
Mimi nataka kuomba nafasi ya data entry clerk iliyotangazwa na ubalozi wa marekani lakini kuna maswali yamenishinda jamani. Kama umebahatika kuiona ile form inayoitwa DS-174 ina maswali kama yafuatayo;
1.Provide the grade of the position Grade.........
2.Provide the Vacancy Announcement...
Hallow Watanzania wenzangu,
Naombeni msaada wenu kufahamu ukweli kuhusu walioitwa kwenye usaili wa idara ya uhamiaji kwa nafasi za konstebo na koplo wa uhamiaji. Sijui kama majina yale ni ya kweli.
Kwanza napenda tu nieleze wasiwasi wangu kuhusu yale majina, baada ya kuyaona kwenye blogs flani...
Mimi ni miongoni mwa waliobahatika kuitwa kwenye interview na Ofisi za sekretariet ya ajira katika fani ya Social Welfare itakayofanyika Mwalimu Nyerere Memorial Academy-Kivukoni.
Naomba msaada kwenu kwa yoyote anayejua au aliyewahi kufanya interview ya social welfare, huwa wanauliza nini au...
Helo,natumaini wote wazima na buheri wa afya.
Naombeni msaada kama kuna mtu yoyote ana links za scholarship za china mwaka huu kama zimetoka.
Nawatakia kazi njema na mafanikio mema.
Mbunge wa Nzega (CCM), Dk Hamis Kigwangalla ,ni kiongozi mchapakazi sana kuanzia jimboni mwake na anahisimamia vizuri serkalini pale inapokesea lakin kwa hili linaloendelea katika Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Nzega mkoani Tabora tayari kumemjadili Dk Kigwangalla katika vikao...
Adexec Oil & Gas Company
P.O.Box 234 Newala,
Mtwara
10th January, 2014.
GreetingsRe: ........ Vacancy
Thank you for your application for the above position.
I would be grateful if you could attend an interview & training:
At Adexec Oil & Gas Office, Near District Council Newala, Mtwara
On th...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.