Moja ya faida ya mwanamke bikra ni kwamba wewe ukiwa mwanaume wa kwanza kwake c rahisi xn mwanamke kukuacha ww mwanaume, na atakukumbuka coz ww ndo ulimfundisha mapenzi'.....daaah! Ila asikwambie m2 aliyegundua ki2 mapenzi ame2sababishia matatizo xn
Duu!! Pole xn bro, lkn huenda ulisha muonesha hali ya kuto kuwa mwaminifu kabla, labda jaribu kwenda kuwaeleza wazaz wake kilicho tokea ili wajaribu kuongea nae......atarud tu we uwe na aman!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.