Mmasai atoa mpya hospitali !!!

Jewel

Senior Member
May 1, 2008
176
62
Mmasai mmoja alimpleleka Mkewe Hospitali kwenda kuangaliwa hali ya ujauzito wake.

Baada ya Daktari kumfanyia uchunguzi akatoa taarifa kwa Mmasai kuwa mtoto amekaa nje ya mfuko wa uzazi na itabidi afanyiwe operation ya kutolewa kiumbe hicho.

Mmasai akachukia sana na kuanza kulalama

"hii mama YOYOO iko jinga sana, wakati mie NA*DO yeye ilikuwa nakata kiuno mara kulia mara kushoto, mie naambia tulia, yeye nasema inaona utamu niendelee tuu, ona sasa nakosesha mie shabaha na mtoto nakaa nje" !!!!!

SIKU NJEMA KWENU
 
We mama yoyoo hivi ni mimi au wewe na "Do" mwenzake, Tuliaa, wala usikwepeshe.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom