Tanzania vichekesho

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Tanzania vichekesho maisha yetu kama tunacheza drafti vile mana juzi juzi tulikuwa kwenye suala la umeme leo tupo kwenye suala la mafuta na viongoz wetu wanaongea pumba tuu.
hebu tuangalie wabunge na mawaziri waliochemsha na wanaongea pumba bungen na waliochemsha kwny wizara zao
 
Murefu kuna viongozi na wanasiasa unakuwa huwatendei haki ukizungumza kwa ujumla hvyo.ungetazama kikao cha bunge leo asubuh ungepata picha ya ninachokizungumza
 
tutafika tu wananchi wenyewe tunatakiwa kuamka na sio kulalamika kila siku
Tanzania vichekesho maisha yetu kama tunacheza drafti vile mana juzi juzi tulikuwa kwenye suala la umeme leo tupo kwenye suala la mafuta na viongoz wetu wanaongea pumba tuu.
hebu tuangalie wabunge na mawaziri waliochemsha na wanaongea pumba bungen na waliochemsha kwny wizara zao
 
Tanzania vichekesho maisha yetu kama tunacheza drafti vile mana juzi juzi tulikuwa kwenye suala la umeme leo tupo kwenye suala la mafuta na viongoz wetu wanaongea pumba tuu.
hebu tuangalie wabunge na mawaziri waliochemsha na wanaongea pumba bungen na waliochemsha kwny wizara zao

Wewe wakati unapost hii thread umeangalia uko kwenye forum gani? [h=1]Forum: Jokes/Utani + Udaku/Gossips[/h]
 
Back
Top Bottom