mchina,mjerumani na mtanzania wakizungumzia rekodi za mwaka 2011

mkibunga

Senior Member
Nov 17, 2010
196
25
mchina alisema kwao alizaliwa mtoto bila mikono wakampa ya bandia leo ni bondia
mjerumani akadakia kwao alizaliwa mtoto bila miguu wakampa ya bandia leo hii ni mwanariadha mashuhuri amewaletea medali na heshima kedekede

mtanzania akawambia yenu ni cha mtoto akasema kwetu alizaliwa mtoto karibu na bagamoyo hana kichwa akawekewa tuyi la nazi leo hii anaongoza nchi
 
Lol!! Hii rekodi ya Tz ni fantastic....
 
kumbe ndo maana mshikaji anamaamuzi ya ajabu ajabu kumbe alizaliwa bila kichwa akawekewa tui la nazi hongereni wazee wa teknolojia
 
haya ndio matatizo ya kufuata kitabu kiliandikwa na mtu. Upotoshaji na maadili hovyo kabisa. Kumuheshim kiongozi ni jambo la msingi sana. Ee bwana Paulo umetuharibia kizazi. Yesu wa nazareti hakufundisha hivi.
 
Khaaa ! Hii style ya copy & paste imezid ngoja niongee na mod tuanze kutoa adhabu.
 
DAA! Ndg yang nakuonea macho xn yan umethubu2 ata kutaja jina hilo?? Ama hujui kama humu JF kuna mashushushu? Plz try 2 ask 4giveness

Beyond heaven, you are under arest for the following crimes:-

1. Kutokumuheshimu kiongozi wa nchi, kwani hata maandiko yanasema itiini mamlaka iliyopo...........
2. Kwa kurudia kuandika post hii kama vile wewe ndio founder wakati ilishawahi kuwepo hapa, and for me hii ni jokes yangu of the year kwani ilinifurahisha sana.

Haya, mikono juu nikulambe pingu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom