Recent content by Mlezi wa wana

  1. Mlezi wa wana

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kipi chenye watoto classic na bei ya beer elekezi kwa hapa Dar es Salaam

    Mkuu Usisahau kwasasa hata idadi ya Wakazi wa jiji la Dar wame ongezeka Sana, je Una weza kutaja sehemu yoyote kwa sasa yenye shangwe kama ziko to kuwa Mambo Club na Billz.
  2. Mlezi wa wana

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kipi chenye watoto classic na bei ya beer elekezi kwa hapa Dar es Salaam

    Mpaka sasa jiji la Dar bado enzi za Billz na Mambo club hazija wahi kuludi zile ndio zilikuwa club kweli kweli
  3. Mlezi wa wana

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kipi chenye watoto classic na bei ya beer elekezi kwa hapa Dar es Salaam

    Hivi baada ya BOARD ROOM kuwa closed kiwanja gani kimeziba pengo ,leo nina MOOD ya kutoka na kucheza Music
  4. Mlezi wa wana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Lodge wanahaki ya kuhoji idadi ya wapenzi kwa wateja?

    Mimi nilidhani mna taka kufanya three some
  5. Mlezi wa wana

    JamiiForums Tanzania Chakula gani hujala muda mrefu?

    Huku niliko kume nitenganisha ná Kilo mmoja na ndizi mbili na Serengeti baridi
  6. Mlezi wa wana

    JamiiForums Tanzania Hivi kinachofanya Maria Sarungi na Fatma Karume wawe wanaharakati namna ile ni nini?

    Naomba Mwenyezi Mungu waludi effective kwenye shughuli zao kama ilivyo kuwa
  7. Mlezi wa wana

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia ateua Makatibu Tawala, ahamisha wengine. William Erio aondolewa NSSF

    Naona kule nyumba nyeupe Usafi una endelea
  8. Mlezi wa wana

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Ufipa na Msoga damu damu na hii ndio siasa!

    Kwa hali hii wabunge wa Arusha Mjini,Mbeya Mjini,Iringa Mjini,Hai,Tarime,Ubungo,Kibamba, kawe na wengine wengi wajiandae kukabidhi majimbo kwani watakuwa wabunge wa awamu mmoja
  9. Mlezi wa wana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mchambuzi wa Michezo anayekuja kwa kasi nchini George Ambangile wa Wasafi FM asema Ukweli huu Mchungu

    Asilimia 80 ya wanyakyusa ni yanga .
  10. Mlezi wa wana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera Mbeya kwa kuwa na timu nyingi ligi kuu

    Ilikuwa ina pigwa ligi ya vijana yenye ushindani wa hali ya juu
Back
Top Bottom