Mbobo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 1,380
- 1,800
Tumecheza sana pale ligi ya vijana, mara ya kwanza kuuona niliudharau kwa kudhani ata tukicheza dakika mia hakuna kuchokaNakumbuka kiwanja ngoma pale soko Matola ,mmoja ya uwanja ulio zalisha wachezaji BORA ,ili kuwa ina pigwa ligi ya maana Sana pale hivi huu uwanja hadi leo upo?
Kwa vile tulishazoea kukipiga uwanja wa ccm na teku ambavyo ni vikubwa, balaaa baada ya kuingia uwanjani uwanja kama una uchawi ata upige kwa nguvu vipi kwenda barabarani ni shughuli
Kwa kifupi upo lakini hautumiki tena kama zamani