Recent content by Mlamba Chumvi

 1. Mlamba Chumvi

  Viatu vikali

  Unauza kwa shilingi ngapi?
 2. Mlamba Chumvi

  Viatu vikali

  Kuna kiatu nimekipemda kama utakuwa na namba 41, ma unaweza kwa shiling ngapi
 3. Mlamba Chumvi

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Vingine soma halafu pita mbio maana humu kamba ni nyingi sana. Hakuna gari ya tanga inayotoka dodoma muda huo. Mfano mwingine huyo jamaa wa juu anasema alipiga masaa mawili non stop sijui lakin ila kamba ni nyingi mno.
 4. Mlamba Chumvi

  Kuna wanawake wana mikosi na wengine baraka?

  Mshana Jr karibu uchangie
 5. Mlamba Chumvi

  If you know, you know...

  Soma hicho
 6. Mlamba Chumvi

  Je, huyu house boy atakuwa anavuta bangi?

  Ulimfukuza kazi au ulimfukuza apotee mbele ya macho yako [emoji23]
 7. Mlamba Chumvi

  Mke wangu kaniruhusu nimchakate rafikiye kipenzi

  Nani au unamaanisha Zero IQ ?
 8. Mlamba Chumvi

  Tigo mnakoelekea mtatuuzia 1 GB kwa Tsh 10,000/=

  Hiyo elf 2000 ambayo unapata Gb 2 ni kwa wiki au
 9. Mlamba Chumvi

  Serikali kuchunguza madai wananchi kuibiwa data, vifurushi na kampuni za simu

  Mfabo hii nimeisoma hukp Facebook sijui nn kitajili maana nilivyosoma na kutaka kujiunga kinternet kwa kutumia mtandao wa tigo ndo nashangaa kuona gharama zinapanda badala ya kushuka.
 10. Mlamba Chumvi

  Serikali kuchunguza madai wananchi kuibiwa data, vifurushi na kampuni za simu

  Kwan ushu ya Waziri kuwaambia TCRA wasimamie hili swala limeishia wapi?
 11. Mlamba Chumvi

  Orodha ya vitabu nilivyosoma mwaka huu 2020

  Ndugu kama Soft unayo siungetupia humu kila mtu apakue na kuvisoma ili wote tufaidike
 12. Mlamba Chumvi

  Mfahamu Ginimbi wa Uingereza Tim Burton (schmee)

  Hiv hii ni kweli au ni photo editing maana bado sielewi?
 13. Mlamba Chumvi

  Unga wa kwenye bomba la kutolea moshi wa gari una kazi gani?

  Chid boy aka Gwaji boy nakusilimia tu naona ngekewa inazidi kukudondokea maana fedha zipo na ubunge tena juu [emoji23][emoji23][emoji23]
Top Bottom