Recent content by MLALE

  1. MLALE

    JamiiForums Tanzania Nawaza hivi kuboresha barabara zetu

    umesema vema kiongozi,toa sasa mawazo yako ya ni kitu gani kifanyike ili tuwe na barabara zilizo bora?
  2. MLALE

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa Jamii Forums kwa kunipa Tuzo 🙏🏽

    Hongera Sana Muheshimiwa Waziri,Unastahili Hii Tuzo.
  3. MLALE

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu kinachochea maendeleo ni muhimu sote kufahamu

    Hicho kitu ni ELIMU SAFI NA SIASA SAFI.
  4. MLALE

    JamiiForums Tanzania Kujenga msingi wa nyumba ya vyumba viwili na sebule

    Bei ya msingi itategemeana na mambo yafuatayo; 1.Mkoa uliopo(Location of the place) 2.Kiwanja Kilivyo(Landscape of the the land)
  5. MLALE

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya imewasikiliza Wakenya. Sisi tunajadili Mwijaku na Masoud Kipanya

    Naomba unikumbushe juu ya kauli ya raisi wa kwanza wa Kenya aliyosema ,alipokuwa anatulinganisha Watanzania,Wakenya na Waganda,halafu nitasema jambo.
  6. MLALE

    JamiiForums Tanzania Kadri siku zinaenda naona maisha yatakuwa magumu sana

    Cha kufanya ni CCCM waachie dola ,japo vyama vya upinzani navyo havina msimamo yakinifu ila kuna kitu kitabadilika hasa kwa wanaotutawala kwa sasa. Watawala wa sasa baadhi yao,hawafanyi vile wanapaswa kufanya kwa kuamini wao watatawala daima dumu(hizi fikra zinafanya nchi yetu...
  7. MLALE

    JamiiForums Tanzania Nawaza hivi kuboresha barabara zetu

    Tuendeleeni kuwaza na kutafakari Watanganyika wenzangu.
  8. MLALE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waafrika wengi siyo attractive, sababu hatuchagui wenza!

    So what Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
  9. MLALE

    JamiiForums Tanzania Kuna mda napoteza Imani na nguvu ya Mungu dhidi yetu wana-Adam

    Mungu yupo,tukumbuke ameshatupa mamlaka ya kutenda kama yeye...ukisoma mwanzo 1:27 Mungu aliumba mtu kwa mfano wake.. Shida tuliyonayo wanadamu wengi ni hatujui jinsi ya kutumia nguvu iliyomo ndani yetu ili kukabiliana na changamoto mbali mbali badala yake tunabaki tukimlaumu Mungu,Mungu hayupo...
  10. MLALE

    JamiiForums Tanzania Nidhamu na motisha katika kufikia malengo (discipline and motivation in achieving goals)

    Upo Vizuri mkuu,nimekuelewa sanaaa....japo baadhi watakuita majina ya kukejeli ila umeandika ukweli mtupuu.
  11. MLALE

    JamiiForums Tanzania Nawaza hivi kuboresha barabara zetu

    Ni kwa nini tuliowaajiri kutuongoza wasifanye yafuatayo kuboresha barabara zetu? 1.(a)Kutumia wafungwa waliofungwa vifungo vya muda mfupi kutujengea barabara zetu korofi? (As cheap labour) 1(b)Kutumia malighafi tulizonazo kama mchanga, kokoto, saruji na wakandarasi wetu wazawa kutujengea...
  12. MLALE

    JamiiForums Tanzania App ya kupakua action Movies

    Netnaija.com
  13. MLALE

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Kaka wewe ni fundii,chukua maua yako mkuu.
Back
Top Bottom