unapanda daraja kwa kutumia score angalau 75 sio percentage... kama ulifikisha percentage 100 automatic ungekuwa na score 70 supervisor wako alitakiwa kufanya assesment kuongezea izo 30.. kwahiyo LIA na supervisor wako labda aliset indicators vibaya
Hapo zamani za kale kulikuwa na Kijiji kimoja kati kati ya msitu, Kijiji kilibarikiwa kuwa na kuku wengi sana wa kienyeji kuku watamu sanaaaa.
Basi sifa za Kijiji kile zikaenea vijiji vya mbali mpaka huko mjini kuhusu utamu na uzuri wa wale kuku!
Basi Majambazi ama tunaweza kusema majangili nao...
Wale walioajiriwa mwaka 2014 walikaa miaka 7 (miaka saba) Kwa lugha ya who are you (SEVEN YEARS) bila kupata nyongeza wala kupandishwa daraja bila kosa lolote! imagine kuanzia mwaka 2014 wakaja kupanda daraja mwaka 2021! pamoja na nia nzuri ya serikali LAKINI kuna haja ya kufidiwa hili daraja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.