Visiwani Kunani?

Visiwani Kunani?

Bado mzimu wa marehemu unakutesa?
Nenda kwa mwamposa akupake mafuta
Unateseka ukiwa wapi ? Huyo marehemu ndio muasisi wa yanayoendelea
1000096814.jpg
1000096813.jpg
1000096812.jpg

1000096815.jpg
 
Kwa kweli hii inatia shaka,kwa nini vigogo wapo zenji!?
Mwanaharakati maria katoa uchambuzi wa video ya mama hotuba ya mwaka mpya kadai ni AI,sina mb za kurudia kutazama
Au wanataka mwinyi akubali kuwa makamu wa muungano!?
Najua Maza yupo likizo ya wiki mbili,lakini kwa nini JK yupo huko,au kuna kikao cha CCM!?
 
1. Makamu wa Rais Dr. Nchimbi yupo Unguja ana zuunguka kuwajulia hali wastaafu.

2. Mzee wa Msoga yupo Pemba anafungua jengo la zimamoto.

3. Nadhani Rais naye bado ofisi ndogo ya Ikulu Tungu.

Anyway ngoja niagize Pop corn nifuatilie kwa ukaribu hizi ziara 😃
Hiyo ndio kamati ya maridhiano imeanza warm up.
 
Namba 1,2,3 zote siko sehemu Moja...

Au basi. Muda ni rafiki mzuri 🙏

Je, tutegemee namba 2,3 zilizostaafu kufike nako huko? 🤔🤔🤔
 
Mkuu hii ni Januari, leo tarehe 5. Hayo ni maandalizi ya sherehe ya miaka 62 ya Mapinduzi Zanzibar.
 
Kwa kweli hii inatia shaka,kwa nini vigogo wapo zenji!?
Mwanaharakati maria katoa uchambuzi wa video ya mama hotuba ya mwaka mpya kadai ni AI,sina mb za kurudia kutazama
Au wanataka mwinyi akubali kuwa makamu wa muungano!?
Najua Maza yupo likizo ya wiki mbili,lakini kwa nini JK yupo huko,au kuna kikao cha CCM!?
Aulizwe Niko pamoja na Samia
Na wasaidizi wake wa karibu akina Stuxnet THE BIG SHOW ningemuongeza Ritz ila huyu ametingwa na majukumu
 
Mkuu hii ni Januari, leo tarehe 5. Hayo ni maandalizi ya sherehe ya miaka 62 ya Mapinduzi Zanzibar.
Wajinga wana ahirishwa ya tanganyika wanaenda kutukuza ya zanzibar
 
Kwa kweli hii inatia shaka,kwa nini vigogo wapo zenji!?
Mwanaharakati maria katoa uchambuzi wa video ya mama hotuba ya mwaka mpya kadai ni AI,sina mb za kurudia kutazama
Au wanataka mwinyi akubali kuwa makamu wa muungano!?
Najua Maza yupo likizo ya wiki mbili,lakini kwa nini JK yupo huko,au kuna kikao cha CCM!?

niaminivyo huyo wala hataki kuendelea isipokuwa amezungukwa na mafisi ambao wana zile unatuachaje? lkn kama ni yeye naamini angeshatuachia linchi letzu long time, sema mafisi, wazanzibari huwa ni watu cool sana hawana makuu kiihivyo ...
 
Wajinga wana ahirishwa ya tanganyika wanaenda kutukuza ya zanzibar
Mkuu sijakuelewa! Kwani Tanganyika kuna sherehe za mapinduzi? Hivi na kule tulipata uhuru kwa mapinduzi? Sikuwepo wakati ule. Hemu nipashe kidogo.
 
Back
Top Bottom