Aaaah jiweke karibu nae kwa visalam, tabasam kumuuliza uliza baadhi ya vitu..... Body language ndo mkombozi wako na ikishindikana andika barua mtume mtu au omba namba zake kisha mtafute. Usiwe kama mwenzako huku mtaani ananipenda na ninajua ila ananiboa tricks zake, yaaani anapitapita home kila...
Habari wadau, naomba kujua kuhusu Tunakopesha wameniita lakini niko mbali na kuna kazi nyingine nafanya, ningependa kujua kuhusu Tunakopesha ltd, wanavyolipa na mazingira ya kazi, ili kama wako vizuri niende kama sio niendelee na kazi niliyonayo. Tafadhali
Nakumbuka siku tulipoenda kumzika, watu waligoma kuondoka kukatokea vurugu mpaka msalaba ukavunjika. Wakati wa uhai wake ni ngoma zake kali zilizojaa ubunifu ambazo zikipigwa watu lazima washangilie kila ngoma mpya inapopigwa
Ila Jamaa ni mstaarabu kwa kuongea, nafikiri kosa kubwa ni kumuacha mkewe, pia bado hajapata mtu sahihi mixer na mabinti kumshobokea basi kaka anachanganyikiwa
Okay, sawa ila nakumbuka wakati nafanya maombi ya mkopo nilituma siku ya mwisho kabisa ya kutuma maombi, na mimi nilituma nikiwa mkoani ambako ni mbali, sasa katika hali ya kawaida Bodi isingeweza kuyapokea yale maombi siku ile ile, inamaana waliyapokea siku mbili au tatu mbele, hii imekaaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.