Mlalahoi Mlalahai
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 399
- 146
Habari wadau, naomba kujua kuhusu Tunakopesha wameniita lakini niko mbali na kuna kazi nyingine nafanya, ningependa kujua kuhusu Tunakopesha ltd, wanavyolipa na mazingira ya kazi, ili kama wako vizuri niende kama sio niendelee na kazi niliyonayo. Tafadhali