Niliwahi kutengenezewa zengwe nikiwa head teacher wa SHULE Fulani iko Nyarugusu Geita ya MTU binafsi, baada ya kuniambia nitakuwa mkuu wa SHULE hiyo, kulikuwa na mkenya mmoja ambae alimtapeli mwebye SHULE kuwa anadiploma ya ualimu nikasema mbele ya mwenye SHULE kuwa sitaajiri Mwalimu yeyote asiye na cheti cha ualimu hapa. Nilipigwa majungu hadi nokakimbilia serikalini. Huyo bwana hakuwa na cheti Hata kimoja, alikuwa bingwa wa majungu na fitina.