Recent content by Mkyashinho

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni Trekta Gani Bora Kati ya New Holland na John Deere

    Nafurai kumsaidia huyu mwenzetu anayetaka kujikita kwny kilimo;Pia umejaribu kumpa darasa zuri kuhusu hivi vyumaa. Ila kwa upande wangu mimi namshauri mdau asinine kabisa John Deer maana mafundi huwa wanaliita “Ndoa ya kikristo”...yaani ukilinunua ndio lako hilo hata ukitaka Kuuza hutopata...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chanzo cha afisa biashara aliyechana Quran tukufu ni kurogwa; aliwatesa wafanyabiashara katika ukaguzi wa leseni

    data, Thanks broo for logical reasoning Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chanzo cha afisa biashara aliyechana Quran tukufu ni kurogwa; aliwatesa wafanyabiashara katika ukaguzi wa leseni

    Lakini mbona wote hatutumii ht Dakika moja tuu kuwaza ni wapi huyu jamaa aliipata Qoran tukufu?Alikuja nayo toka nyumbani na kuingia nayo baa? Kama inavyosemekana alikuwa amelewa....je hao waliompatia Qoran (wakimjaribu) wangemtaka awapige na akawapiga wangeenda polisi kushitaki? Uhalifu huu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chanzo cha afisa biashara aliyechana Quran tukufu ni kurogwa; aliwatesa wafanyabiashara katika ukaguzi wa leseni

    Sooo ni km mtu anavyobambikiziwa bangee? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chanzo cha afisa biashara aliyechana Quran tukufu ni kurogwa; aliwatesa wafanyabiashara katika ukaguzi wa leseni

    Labda kambi ya jeshi haikuwa karibu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba matajiri wakubwa SANA duniani wote ni members wa freemasons/illuminati?

    Ilianziaaaa KUZIMU???Are you serious?? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wachaga wengi yamo kwenye utumbo wa mbuzi

    Haya mbeee....mkyashi iha meku iko?? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri na ombi kwa Wizara ya Ulinzi na Usalama

    Taasisi hizi unazozizungumzia ww ni KUBWA kuliko hizo “wishes” zako unazotamani zitimieee... Ufanisi wake umejengwa zaidi kuzidi hayo unayoyazungumzia....Hazifungamani na wala hazitokuja kufungamanishwa na hayo unayoyataka
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

    [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] hongera sn brooo kwa kuwaza nje ya box....watu wanaangalia kipindi hiki tuu cha msimu wa sikukuu... Lakini wanashindwa kuona fursa nzuri sn ya muda iliyojitokeza kwa wafanya biashara....unajiondokea zako Moshi jioni asbh upo Dar....una fanya zako manunuzi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kupanda treni kwenda Moshi ni kujidhalilisha

    Sooo kwa maoni yako SGR ikikamilika tutakuwa tumerudi nyuma sana sio???
  11. M

    JamiiForums Tanzania IGP tazama vijana wako huku, Matumizi/vitisho kwa kutumia silaha dhidi ya raia si jambo la kufumbiwa macho

    Kula Gwalior mjombaaa....muda menginee Mungu huwa anatunyima vitu purposely
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa waliowahi kusafiri kwa private Dar-Moshi

    Sasa bwana Mtui....ulichouliza tayari ni limit ...sasa unawezaje tn kuuliza limit within a limit??
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tractor gani zuri kati ya Massey Ferguson 590 na New Holland

    Mimi nakushauriii Rafita brand ya FIAT....hutoijutiaaa hii brand.... Ingawa kampuni mama ya Fiat imeshanunuliwa na New Holland lkn kama unaweza tafuta Fiat OG yenyewe... Hizi New Holland unazoziona sasa hivi ni advanced version ya Fiat ndio maaana kuna Fiat nyngn unakuta imeandikwa Fiat-New...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tractor kuanzia 50 hp

    blacksamurai, Nimependa uzi wako ulivyodadavua vzr...Pia asisahau MAHINDRA....Hii brand ni PASUA KICHWA balaaa....na ni ndoa ya kikristooo....ukiwa nalo utajuta kuwa nalooo... Ila kwny uzi wako sijaona popote ulipozungumzia FIAT... Hii brand sijui kwa nn haisemwi kbs....ni trekta imara...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tractor kuanzia 50 hp

    Cha msingi ninachoweza kukushauri kama unataka trekta jaribu kutafuta brand ya FIAT.. Iwe ni 80-66;70-66;70-56 nk... Hii brand ni ngumu na Imara sana ingawa jmekuwa haizungumziwi sn...huyo kutoa kuwa nayo maana inatengenezeka kirahisi na vipuri vyake inapatikana sana...
Back
Top Bottom